Mambo ambayo Papa anafanya yananifikirisha sana

Mambo ambayo Papa anafanya yananifikirisha sana

Waarabu wapagani wa Mecca kabla ya ujio wa Mudy na dini yake walikuwa wanaizunguka kabbah mara saba na katika miungu yao 360 allah alikuwa mmoja wao.

Sasa mtu anaposema uislamu umetohoa katika baadhi ya tamaduni za waarabu usibishe huo ndio ukweli.

Waarabu wapagani wa Mecca kabla ya ujio wa Mudy na dini yake walikuwa wanaizunguka kabbah mara saba na katika miungu yao 360 allah alikuwa mmoja wao.

Sasa mtu anaposema uislamu umetohoa katika baadhi ya tamaduni za waarabu usibishe huo ndio ukweliqura

Waarabu wapagani wa Mecca kabla ya ujio wa Mudy na dini yake walikuwa wanaizunguka kabbah mara saba na katika miungu yao 360 allah alikuwa mmoja wao.

Sasa mtu anaposema uislamu umetohoa katika baadhi ya tamaduni za waarabu usibishe huo ndio ukweli.
Una ushahidi wa hilo?..mimi nina ushahidi wa Quran 8:35 kwamba walikua wakipiga miluzi na makofi hapo kaaba,ndiyo ilikua ibada yao
 
Brother you have serious understanding issues.

Jesus was Jewish person, born from a Jewish woman from a Jewish Tribe, he was 100% Jewish.

Kitendo cha mafarisayo kumpinga yesu ni kwasababu alikuwa anafichua uovu yao, na kuwakemea kwasababu walikuwa wananyonya watu na kuwapoteza kwa kuwafundisha sheria ngumu wakati wao wenyew hawazifuati.
Yesu kupingwa na mafarisayo haimaanishi kwamba yeye sio myahudi, uyahudi ni ethnicity ni kitu ambacho mtu anazaliwa nacho, ni kama vile niseme wewe ni mswahili au mbantu, sio kitu ambacho mtu anaweza kukuvua.

But kama unataka uamini story za jamaa wako wa jangwani sawa endelea kushika hio hoja.
Hizo sheria ni za dini ya kiyahudi, yesu alivunja sheria za kiyahudi kama sabato nk,alivunja sheria za dini siyo kabila, sababu hizo sheria ziliaminika ni divine,vitu divine siyo vya kikabila bali dini
 
Katika hao miungu 360 Allah alikuwa Mungu wa ngapi?
Sio tu alikuwa mmoja kati ya hao miungu alikuwa mkuu wa hio miungu

Soma hayo maeneo niliyo highlight:

1000423241.jpg

Is The "Allah" of the Qur'an the true universal God?.
 
Hizo sheria ni za dini ya kiyahudi, yesu alivunja sheria za kiyahudi kama sabato nk,alivunja sheria za dini siyo kabila, sababu hizo sheria ziliaminika ni divine,vitu divine siyo vya kikabila bali dini
1. Yesu hakuvunja sabato, eye witnesses wanatuambia ilikuwa ni destruri yake kwenda kweny synagogue kila sabato, hata alipokufa wanafunzi wake walifanya haraka kumzika ili sabato isije ikaingia bado hawajiandaa, kama angekuwa kaivunja sabato wanafunzi wake ndio wangekuwa watu wa kwanza kabisa kuwafundisha, na hata hivyo wanafunzi wake walioendelea kutunza sabato hata pale alipofariki, sheria ambazo zilipata kutimizwa zinajulikana so usidanganye watu

2. Sheria ya sabato sio ya kikabila ni sheria za kidini, kwasababu aliyezileta hizo sheria ni mungu kwa kupitia mkono wa mussa, sabato na amri kumi sio sheria ambazo walijitungia wenyew, huu uongo unaupata wapi?

3. Tunatoka nje ya mada, unaanza kuingia kweny mambo ya sheria baada ya kuona umeshindwa kutetea hoja yako kwamba Yesu sio myahudi common knowledge ambayo hata mtoto wa primary anayo.
 
Vyovyote vile je ndo alikuwa hivyo?
Au ndo mambo ya yesu na Brian deacon?
Mimi sijui kama alikuwa hivyo au la, ninachojua ni kwamba he was a real historical figure from Muhammad's time, na kama unataka any further evidence just say
 
Mimi sijui kama alikuwa hivyo au la, ninachojua ni kwamba he was a real historical figure from Muhammad's time, na kama unataka any further evidence just say
Huo ni UZUSHI Kama UZUSHI mwingine.hyo mtu hana historia yyote na uislam
 
Hicho ni kipindi CHA UJAHIRIYA.yaani kipindi Cha UJINGA.kabla Muhammad hajaja na kuuhisha uislam kwa mara nyingine.waarabu walikuwa wanatunga Tunga tu mambo Yao.Muhammad alipokuja ndo akaja kuwasafisha.
Mzee huoni kwamba ni UJINGA zaidi kuchukua miungu ya watu alaf kuifanya miungu yako alaf kuwaambia nyie wote mlikuwa mnamwabudu vibaya, then baada ya hapo unaiga practices zao kwa kuzunguka kaabah mara saba kama walivokuwa wanafanya, kubusa jiwe jeusi kama walivokuwa wanafanya n.k

Sasa hapo inabidi ujiulize mudy kafanya zaidi ya kuupa upagani jina lingine?
 
A jew is a person, judaism is religion,jewish-faith reference
A muslim is a person, islam religion, islamic
Christianity, christian
Hindu, hinduism
YESU alikuwa wa dini ya kiyahudi ,

Haya ni maandiko yanayoonyesha kuwa Yesu Kristo alikuwa Myahudi, tukianza mwanzo kabisa:

1. Yesu Alizaliwa katika Ukoo wa Abrahamu
Dini ya Kiyahudi ilianza na agano kati ya Mungu na Abrahamu. Yesu alikuwa kizazi cha Abrahamu kupitia kabila la Yuda.

Mwanzo 22:18: "Na katika uzao wako mataifa yote ya dunia watabarikiwa; kwa sababu umetii sauti yangu." Hii ni ahadi ya Mungu kwa Abrahamu ambayo inatimia kupitia Yesu.

Mathayo 1:1: "Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi, mwana wa Abrahamu." Hii inathibitisha ukoo wa Yesu kama Myahudi.

2. Yesu Alizaliwa katika Taifa la Kiyahudi
Yesu alizaliwa na wazazi Waisraeli waliokuwa wakifuata dini ya Kiyahudi.

Luka 2:4-6: "Yusufu naye akapanda toka Galilaya, kutoka mji wa Nazareti, kwenda Uyahudi, mpaka mji wa Daudi uitwao Bethlehemu; kwa kuwa alikuwa wa mbari na jamaa ya Daudi..." Hii inaonyesha kuwa Yesu alizaliwa katika mji wa Kiyahudi na familia yenye urithi wa Kiyahudi.

3. Tohara ya Yesu
Kama ilivyokuwa desturi ya Kiyahudi, Yesu alitahiriwa siku ya nane baada ya kuzaliwa.

Luka 2:21: "Hata zilipotimia siku nane za kumtahiri, aliitwa jina lake Yesu, kama alivyoitwa na malaika kabla hajachukuliwa mimba."

4. Yesu Alilelewa kwa Misingi ya Kiyahudi
Yesu alilelewa kulingana na sheria za Kiyahudi, akihudhuria sikukuu na ibada za Kiyahudi.

Luka 2:41-42: "Basi, wazazi wake walikuwa wakienda Yerusalemu kila mwaka wakati wa sikukuu ya Pasaka. Alipokuwa mwenye umri wa miaka kumi na miwili, walipanda kwenda kama ilivyokuwa desturi ya sikukuu hiyo."

5. Yesu Alitambuliwa kama Mwalimu wa Kiyahudi
Wakati wa huduma yake, watu walimwita "Rabi" (Mwalimu), jina la heshima lililotumika kwa walimu wa dini ya Kiyahudi.

Yohana 1:49: "Nathanaeli akamjibu, Rabi, wewe ndiwe Mwana wa Mungu, wewe ndiwe Mfalme wa Israeli."

Yohana 3:2: "Mtu mmoja wa Mafarisayo, jina lake Nikodemo, kiongozi wa Wayahudi, akamjia Yesu usiku na kumwambia, Rabi, tunajua ya kuwa wewe u mwalimu uliyetoka kwa Mungu."

6. Yesu Alizingatia Sheria za Kiyahudi
Yesu alifuata sheria za Kiyahudi na kuzitimiza.

Mathayo 5:17: "Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza."

Kwa ujumla, Yesu Kristo alizaliwa, kulelewa, na kuishi kama Myahudi, akifuata desturi na ibada za Kiyahudi. Hii inathibitishwa wazi na maandiko ya Biblia.
 
Huo ni UZUSHI Kama UZUSHI mwingine.hyo mtu hana historia yyote na uislam
Ongeza elimu mkuu au soma vizur hio link niliyokupatia, huyo mtu kashiriki vita vingi vya kiislamu na alikuwa ni mtu wa karibu sana na mtume, kama nilivosema alikuwa scriber wa mtume, hoja yake ina make sense sana ukizingatia mtume alikuwa illiterate.
 
Kauli yake haiwezi kuwa Sheria.
 
Ongeza elimu mkuu au soma vizur hio link niliyokupatia, huyo mtu kashiriki vita vingi vya kiislamu na alikuwa ni mtu wa karibu sana na mtume, kama nilivosema alikuwa scriber wa mtume, hoja yake ina make sense sana ukizingatia mtume alikuwa illiterate.
Huyu hakuwepo kipindi Cha Muhammad
 
Back
Top Bottom