Mambo ambayo watu wanayaiga kutoka kwa viongozi wao

Mambo ambayo watu wanayaiga kutoka kwa viongozi wao

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
1. Kaunda suti zilikuja Kwa kasi kisa tu Ilikuwa vazi la mwalimu nyerere

2. Wahehe Kujinyonga kisa mkwawa alijinyonga japo yeye alifanya hivyo kwa uzalendo wa hehe wa siku hizi hata mapenzi wanajitoa uhai

3. Wamakonde wa msumbiji walimuiga samora machel kufuga ndevu sa hv unawakuta wamakonde kibao Wana midevu

4.
 
1.kaunta suti zilikuja Kwa kasi kisa tu Ilikuwa vazi la mwalimu nyerere

2.wahehe Kujinyonga kisa mkwawa alijinyonga japo yeye alifanya hivyo kwa uzalendo wa hehe wa siku hizi hata mapenzi wanajitoa uhai

3.wamakonde wa msumbiji walimuiga samora machel kufuga ndevu sa hv unawakuta wamakonde kibao Wana midevu

4.
Chai
 
Mm namuiga mwamba
Screenshot_2024-05-28-11-04-27-244_com.instagram.android.jpg
 
1.kaunta suti zilikuja Kwa kasi kisa tu Ilikuwa vazi la mwalimu nyerere

2.wahehe Kujinyonga kisa mkwawa alijinyonga japo yeye alifanya hivyo kwa uzalendo wa hehe wa siku hizi hata mapenzi wanajitoa uhai

3.wamakonde wa msumbiji walimuiga samora machel kufuga ndevu sa hv unawakuta wamakonde kibao Wana midevu

4.
Kaunda Suti ni jina la vazi lililopewa kwa heshima ya aliyepata kuwa Rais wa Kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda.
 
Watu wakija town wanaiga kupanda daladala na nauli wanaomba, wakati huko village walikua wanatembea kwa miguu..🤨
 
Vijana wa skuizi wameiga matumizi ya c.ondom kwa wazungu, wakati zamani tulikua laivu..😋
 
Suruali mtepesho ilikua ni manigga kukosa mikanda jela huko mambele, huku masela mav! wameiga na kuona ni fashion...🤨
 
Mbuzi kagoma kwenda wahuni waliitumia kwenye ukatili na ubakaji ili watendewa wasiwatambue, huku vijana wa hivyo wanaiga eti ndio style kwenye starehe...☹️
 
Back
Top Bottom