ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Chai1.kaunta suti zilikuja Kwa kasi kisa tu Ilikuwa vazi la mwalimu nyerere
2.wahehe Kujinyonga kisa mkwawa alijinyonga japo yeye alifanya hivyo kwa uzalendo wa hehe wa siku hizi hata mapenzi wanajitoa uhai
3.wamakonde wa msumbiji walimuiga samora machel kufuga ndevu sa hv unawakuta wamakonde kibao Wana midevu
4.
Kaunda Suti ni jina la vazi lililopewa kwa heshima ya aliyepata kuwa Rais wa Kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda.1.kaunta suti zilikuja Kwa kasi kisa tu Ilikuwa vazi la mwalimu nyerere