Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Lucifer ni kiumbe ghali kama uumbaji uliishia hapo baada ya anguko lake
Kwani materials za uumbaji wa Lucifer zilikuwa ghali Sana,
Si kuna wengi wanasema aliubwa kwa Moto.

Ambapo Moto ulikuja kugunduliwa na binadamu, na ndio Best ever invasion discovery of human being.

Kama Sio ugunduzi wa Moto, Basi binadamu asingekuwa kiongozi wa Dunia.

Tungeendelea kuishi kwenye miti ya matunda na kula Tu wadudu.
 
ivi uko seruous??☹️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…