Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Lucifer ni kiumbe ghali kama uumbaji uliishia hapo baada ya anguko lakeHiki 👆 Nini (nawakipekee ajie ubwaa kama lucifer)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lucifer ni kiumbe ghali kama uumbaji uliishia hapo baada ya anguko lakeHiki 👆 Nini (nawakipekee ajie ubwaa kama lucifer)
Kwani materials za uumbaji wa Lucifer zilikuwa ghali Sana,Lucifer ni kiumbe ghali kama uumbaji uliishia hapo baada ya anguko lake
ivi uko seruous??☹️Kwani materials za uumbaji wa Lucifer zilikuwa ghali Sana,
Si kuna wengi wanasema aliubwa kwa Moto.
Ambapo Moto ulikuja kugunduliwa na binadamu, na ndio Best ever invasion discovery of human being.
Kama Sio ugunduzi wa Moto, Basi binadamu asingekuwa kiongozi wa Dunia.
Tungeendelea kuishi kwenye miti ya matunda na kula Tu wadudu.
Ndioivi uko seruous??☹️
Asante 🤝 najua kitakua kimesheheni nondo za kushatuWaterbender na Blender zawadi yenu hii hapa itapunguza baadhi ya utata