Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Mambo ya spiritual tushakataza coz ni Chaka la kufichia kila kitu... mi naweza kusema mi ni Donald trump spiritually afu yule ni mbwa aliyepakwa madawa ila Mimi ndo real trump..πŸ˜‚na we huwezi ona coz huna macho ya kiroho
🀣🀣🀣
Sio Spiritual za kina Rabbon mkuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Tupe na ya Yesu nayo maana kuna wadau wanasema simulation yake yule aliembebea msalaba ndie aliesulubiwa Ila yeye mwenyewe alijichanganya na umati akaingia mitini ili kuikwepa misumali
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hao waislamu mkuu ndo wanasema hivyo 🀣🀣🀣
 
🀣🀣🀣
Sio Spiritual za kina Rabbon mkuu πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Unaambiwa documents zote zinazoonyesha teknolojia gani iliyotumika kuyajenga mapramid ya misri zipo Ila zimefichwa sehemu ambayo Mimi na wewe hatuwezi kuifikia na wanaoijua ni wachache mno
 
Unaambiwa documents zote zinazoonyesha teknolojia gani iliyotumika kuyajenga mapramid ya misri zipo Ila zimefichwa sehemu ambayo Mimi na wewe hatuwezi kuifikia na wanaoijua ni wachache mno
Yeah hiyo nilisikia Ila kitu ambacho najiulizaga who runs it ..nani anaeamua yote haya ambayo hata marais hawaruhisiwi
 
Ahaah yesu alizaliwa Bethelehem kwa mujibu wa Biblia...nazareth alilelewa tu

Na unajua its Metaphorical sio Real meaning hizo..
Si unajua Bethelehem in metaphorical anatomy inamaanisha Lumbar plexus
 
Wengi wasichojua ni kwamba kuna kuna mifumo miwili ambayo ni either uwe kwenye mfumo wa Muumba au wa Dunia (falme za kiroho,shetani etc)

Usipokuwa full kwa Muumba basi huo mfumo mwengine utaishi ndani yako japo unaweza jiona una freewill lakini kuna mfumo unakuongoza bila kujua(roho,nafsi,mwili,mizimu,elimu,falme na mamlaka,nyoka,ufunuo,asili)

Muumba ni mmoja na anamfumo wake wa mema na mazuri tu na yeye huishi ndani yetu sote Isaya 57:15 β€œMaana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu.”

Hivyo hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya o coincidence hata kimoja.
 
Tushasema mambo ya kiroho ni Chaka la kufichia ujinga wowote ule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…