DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
- Thread starter
- #21
Yeah mkuu uko sawa na ndo lilikuwa Goma la JFK hilo![]()
Marilyn Monroe - Wikipedia
en.wikipedia.org
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah mkuu uko sawa na ndo lilikuwa Goma la JFK hilo![]()
Marilyn Monroe - Wikipedia
en.wikipedia.org
Ni theory ambazo ukizisoma Lazma akili yako ijenge picha ambayo itaona zina ukweli sio kila theory ni nadharia zingine ukizipima utaona kabisa zina kama kiukweliUkwel upi ambao unafikir uliupokea?.
Maana hizo ni theories tu ambazo sio lazima kila mtu azikubali.
🤣🤣🤣Mambo ya spiritual tushakataza coz ni Chaka la kufichia kila kitu... mi naweza kusema mi ni Donald trump spiritually afu yule ni mbwa aliyepakwa madawa ila Mimi ndo real trump..😂na we huwezi ona coz huna macho ya kiroho
😅😅😅Tupe na ya Yesu nayo maana kuna wadau wanasema simulation yake yule aliembebea msalaba ndie aliesulubiwa Ila yeye mwenyewe alijichanganya na umati akaingia mitini ili kuikwepa misumali
Unaambiwa documents zote zinazoonyesha teknolojia gani iliyotumika kuyajenga mapramid ya misri zipo Ila zimefichwa sehemu ambayo Mimi na wewe hatuwezi kuifikia na wanaoijua ni wachache mno🤣🤣🤣
Sio Spiritual za kina Rabbon mkuu 😅😅😅
Yeah hiyo nilisikia Ila kitu ambacho najiulizaga who runs it ..nani anaeamua yote haya ambayo hata marais hawaruhisiwiUnaambiwa documents zote zinazoonyesha teknolojia gani iliyotumika kuyajenga mapramid ya misri zipo Ila zimefichwa sehemu ambayo Mimi na wewe hatuwezi kuifikia na wanaoijua ni wachache mno
GodfathersYeah hiyo nilisikia Ila kitu ambacho najiulizaga who runs it ..nani anaeamua yote haya ambayo hata marais hawaruhisiwi
Ahaah yesu alizaliwa Bethelehem kwa mujibu wa Biblia...nazareth alilelewa tuBalaa lingine km unaisoma vizuri Bible kuna mmoja anasema Yesu alizaliwa Bethlehem na yupo mwingine anasema Yesu alizaliwa Nazareth, hii simulation ni fikirishi sana inamaana hapa ndio hao wadau wanaosema yule aliembebea msalaba ndie aliesulubiwa ndipo wanapochukua point 3 inamaana kulikua na Yesu wawili mmoja kazaliwa Bethlehem na mwingine Nazareth
Ongeza picha zingne
Hahaha zinatosha hizi zingine zinagusa imani za watu Mkuu 😅😅Ongeza picha zingne
Hidden Society...., nani anendesha hiyo simulaton?
Ongezea ongezea pichaHahaha zinatosha hizi zingine zinagusa imani za watu Mkuu 😅😅
Mi ndo nakuambia...😂🤣🤣🤣
Sio Spiritual za kina Rabbon mkuu 😅😅😅
Tushasema mambo ya kiroho ni Chaka la kufichia ujinga wowote uleWengi wasichojua ni kwamba kuna kuna mifumo miwili ambayo ni either uwe kwenye mfumo wa Muumba au wa Dunia (falme za kiroho,shetani etc)
Usipokuwa full kwa Muumba basi huo mfumo mwengine utaishi ndani yako japo unaweza jiona una freewill lakini kuna mfumo unakuongoza bila kujua(roho,nafsi,mwili,mizimu,elimu,falme na mamlaka,nyoka,ufunuo,asili)
Muumba ni mmoja na anamfumo wake wa mema na mazuri tu na yeye huishi ndani yetu sote Isaya 57:15 “Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu.”
Hivyo hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya o coincidence hata kimoja.