Mambo ambayo Yanafanya watu wengi waweke Fikra kwamba huenda dunia ni simulation au huenda hatuna free wills kama tunavyoambiwa case st JFK &Lincoln

Mambo ya spiritual tushakataza coz ni Chaka la kufichia kila kitu... mi naweza kusema mi ni Donald trump spiritually afu yule ni mbwa aliyepakwa madawa ila Mimi ndo real trump..😂na we huwezi ona coz huna macho ya kiroho
🤣🤣🤣
Sio Spiritual za kina Rabbon mkuu 😅😅😅
 
🤣🤣🤣
Sio Spiritual za kina Rabbon mkuu 😅😅😅
Unaambiwa documents zote zinazoonyesha teknolojia gani iliyotumika kuyajenga mapramid ya misri zipo Ila zimefichwa sehemu ambayo Mimi na wewe hatuwezi kuifikia na wanaoijua ni wachache mno
 
Yeah hiyo nilisikia Ila kitu ambacho najiulizaga who runs it ..nani anaeamua yote haya ambayo hata marais hawaruhisiwi
 
Balaa lingine km unaisoma vizuri Bible kuna mmoja anasema Yesu alizaliwa Bethlehem na yupo mwingine anasema Yesu alizaliwa Nazareth, hii simulation ni fikirishi sana inamaana hapa ndio hao wadau wanaosema yule aliembebea msalaba ndie aliesulubiwa ndipo wanapochukua point 3 inamaana kulikua na Yesu wawili mmoja kazaliwa Bethlehem na mwingine Nazareth
Ahaah yesu alizaliwa Bethelehem kwa mujibu wa Biblia...nazareth alilelewa tu

Na unajua its Metaphorical sio Real meaning hizo..
Si unajua Bethelehem in metaphorical anatomy inamaanisha Lumbar plexus
 
Wengi wasichojua ni kwamba kuna kuna mifumo miwili ambayo ni either uwe kwenye mfumo wa Muumba au wa Dunia (falme za kiroho,shetani etc)

Usipokuwa full kwa Muumba basi huo mfumo mwengine utaishi ndani yako japo unaweza jiona una freewill lakini kuna mfumo unakuongoza bila kujua(roho,nafsi,mwili,mizimu,elimu,falme na mamlaka,nyoka,ufunuo,asili)

Muumba ni mmoja na anamfumo wake wa mema na mazuri tu na yeye huishi ndani yetu sote Isaya 57:15 “Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu.”

Hivyo hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya o coincidence hata kimoja.
 
Godfathers
IMG_20230803_145716_432.jpg

IMG_20230803_124310_985.jpg

20231211_185355.jpg

IMG_20230606_123446_116.jpg
IMG_20230606_123452_255.jpg
 
Wengi wasichojua ni kwamba kuna kuna mifumo miwili ambayo ni either uwe kwenye mfumo wa Muumba au wa Dunia (falme za kiroho,shetani etc)

Usipokuwa full kwa Muumba basi huo mfumo mwengine utaishi ndani yako japo unaweza jiona una freewill lakini kuna mfumo unakuongoza bila kujua(roho,nafsi,mwili,mizimu,elimu,falme na mamlaka,nyoka,ufunuo,asili)

Muumba ni mmoja na anamfumo wake wa mema na mazuri tu na yeye huishi ndani yetu sote Isaya 57:15 “Maana yeye aliye juu, aliyetukuka, akaaye milele; ambaye jina lake ni Mtakatifu; asema hivi; Nakaa mimi mahali palipoinuka, palipo patakatifu; tena pamoja na yeye aliye na roho iliyotubu na kunyenyekea, ili kuzifufua roho za wanyenyekevu, na kuifufua mioyo yao waliotubu.”

Hivyo hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya o coincidence hata kimoja.
Tushasema mambo ya kiroho ni Chaka la kufichia ujinga wowote ule
 
Back
Top Bottom