Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hasira na ujuaji huo,sioni mtu wa kupatana na ndugu hapo?. Sio mwaka huu. Mimi tu hunioni unanifokea kidogo unirukie. Sahau kupatana na mtu wewe. Naamini utateseka sanaKwamba nipo kijijini au siyo kwa taarifa yako Dar nimezaliwa nimesoma hapo mpk udsm na mzee huko ndo kwake kbs ameshastaafu ana makazi yake dsm.
Nipo Mwanza usagara tu hapa jirani na kivuko
Mambo ya kwamba kuna kitu ninaficha sjui nn hzo ni hisia zako tu na ujuaji wako. Swala la kumkosea mzee kama umesoma kwa umakini nilichoandika bs usingekurupuka hivi huoni mpk niliomba msamaha tena mbele ya ndugu zake wa damu mbele ya ndugu wengne maana tulikutana msibani.
Otherwise thanks kwa ushauri wako pia na ujuaji wako.
😂😂😂😂kazi ipo duuuh kuna vitu vinasikitisha na kufurahisha kwa wakati mmojaKwa hasira na ujuaji huo,sioni mtu wa kupatana na ndugu hapo?. Sio mwaka huu. Mimi tu hunioni unanifokea kidogo unirukie. Sahau kupatana na mtu wewe. Naamini utateseka sana
Mambo mrembo 😉Pole sana mkuu
Laana? Maisha hayo tunasemaga ni spiritual ni our beyond heart desire!. Kuna battle kubwa sana la nguvu ya maisha ya ukale na usasa. Unakuta mzee ana waza kama yuko miaka ya 70 huko wakat maisha yanabadilika sana.. hapo hata akielezea nn kilitokea mm naweka assumption " mzee wake kakomalia misimamo ya kizamani" na nina assume tena kabila analotoka huyu jamaa wasomi sio wengiMkuu weka wazi ulimkosea Nini mzee maana Kuna vijana mna laana Sana
Kwamba😂....ukawachanganya wote!Kuna wanaume mna roho nyepes mm mzee wangu alikuwa kila akilewa anakuja kunisumbua nilikuja kumtwanga nondo za kutosha maza akaja nikachanganya wote kipigo kingine achana na mandugu nawew fata mambo yako achana na Maneno sjui huyu yule piga mbishe zako
Kwa hii coment mwenye thread yake amekusonyaa hatarii...!Pia inaonekana wewe ni mtu wa fitina fitina hivi.
Ahahaaaa...! Ameni-Quity,ameniponda mbayaa. Ameniita mjuaji. Kafula hatariKwa hii coment mwenye thread yake amekusonyaa hatarii...!
Kichaa ww mimi siteseki kwa taarifa yako nipo imara kbs maisha yanasonga nimeshare tu hapa kupata mawazo tofauti ya wengne bt it doesn't mean nateseka nipo sawa kbs hayo ni mambo yaliyoniumizaga sn utateseka ww na family yako not mi kama Mungu Amenijalia afya njema, akili timamu bs hateseki mtu hapa.Kwa hasira na ujuaji huo,sioni mtu wa kupatana na ndugu hapo?. Sio mwaka huu. Mimi tu hunioni unanifokea kidogo unirukie. Sahau kupatana na mtu wewe. Naamini utateseka sana
Atakwambia na wewe unamfuatilia maisha yake...🤣🤣🤣Ahahaaaa...! Ameni-Quity,ameniponda mbayaa. Ameniita mjuaji. Kafula hatari
Kichaa ww mimi siteseki kwa taarifa yako nipo imara kbs maisha yanasonga nimeshare tu hapa kupata mawazo tofauti ya wengne bt it doesn't mean nateseka nipo sawa kbs hayo ni mambo yaliyoniumizaga sn utateseka ww na family yako not mi kama Mungu Amenijalia afya njema, akili timamu bs hateseki mtu hapa.
Ndio maza aliingilia kuamua lakin mpaka Leo tuko poa kama amna kilichotokeaKwamba😂....ukawachanganya wote!