Wakili wa shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2022
- 1,726
- 3,391
Tunapokuwa wadogo kuna mambo mengi tunadanganywa na kuamini kuhusu watu wazima. Lakini miaka inavyoenda tunagundua uongo mwingi sana. Uliamini nini na ukashangaa hakuna ukweli wowote.
1. Niamini watu wazima hawapendi wali. Si kwel hata kidogo. Wanapenda wali kuliko hata watoto. Kama uamini pika ugali kwenye msiba uone wakijifanya "hawali sana."
2. Niliamini watu wazima wote wanaakili. Ukweli ni kuwa asilimia kubwa, zaidi ya nusu ya watu wazima ni wapumbavu.
3. Niliamini watu wazima wanamorality ya hali ya juu. Tofauti kabisa. Badala yake mtu mzima mwenye moral standards kubwa hudharauliwa kabisa.
4..........