Mambo gani ulishawahi kufanya ukajutia maishani mwako?

Hata wewe pia usiruhusu mtoto wako kupoteza mda kwa elimu ya bongo hii....

Umesemea ishu ya uvuvi..
Vipi una experience nayo..?
Wewe ulienda shule kusoma na bahati mbaya ulielimika ila haukupata maarifa stahiki kwa wakati husika.
Mimi wanangu wanaenda shule ili wakapate elimu na maarifa, pia nimekua mshauri mkuu kwa watoto wangu hasa nikizitazama ajira zilivyo ngumu na soko lake kwa ujumla.
 
punguza bangi mh. ushimen.... unajua kabisa kua na elimu haku-guarantee chochote
 
Wewe ulienda shule kusoma na bahati mbaya ulielimika ila haukupata maarifa stahiki kwa wakati husika.
Mimi wanangu wanaenda shule ili wakapate elimu na maarifa, pia nimekua mshauri mkuu kwa watoto wangu hasa nikizitazama ajira zilivyo ngumu na soko lake kwa ujumla.
Wanangu wanasoma ndio ila... Sizani kama watakuja kulaumu kama navyo laumu mimi mda huu...

Watabase zaidi kwenye fani..(elimu kwa vitendo zaidi)
 
Mm najutia kuzaa watoto wengi nje hicho kitu kinanisumbua San
Fanya kama nilivyo fanya mimi mkuu...😂
By the way..... watoto ni baraka haijalishi walipatikana katika kipindi gani...😊
 
Attachments

  • JamiiForums790734876.jpg
    JamiiForums790734876.jpg
    34.1 KB · Views: 4
Wanangu wanasoma ndio ila... Sizani kama watakuja kulaumu kama navyo laumu mimi mda huu...

Watabase zaidi kwenye fani..(elimu kwa vitendo zaidi)
Hii kitu nimeanza kuifanya kwa wanangu pia.
Nimekua nikiwasisitiza sana kwenye kupata maarifa zaidi kutokana na wakati tulio nao kwa sasa.
Honestly binafsi sioni faida ya mtoto kwenda form 5na6, hasa kwa kipindi hiki tulicho nacho kwasasa
 
Ewaaa wewe ni mimi kabisa...
Yaliyonikuta mimi sitaki wanangu wayapate...
 
Back
Top Bottom