Mambo gani umejifunza 2024?

Mambo gani umejifunza 2024?

Joanah

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
22,527
Reaction score
79,976
Happy holidays people and long time...i missed you

Tukiwa tunaelekea kumalizia mwaka 2024 ni mambo gani umejifunza through out the year?

Binafsi mwaka huu nina mengi ya kusimulia kwa hawa the so called "MARAFIKI" nitaandika makubwa mawili tu ili kuokoa muda

KWANZA,nimejifunza kwamba urafiki na pesa haviendani...nikiwa namaanisha mwaka huu 2024 nimepoteza marafiki wengi sana sababu ya zile mambo za kupenda kuonea huruma rafiki akiwa na shida ya pesa matokeo yake mnaanza kusumbuana kwenye malipo

PILI, Usiruhusu rafiki yako awe na usemi wowote kuhusu mahusiano yako ya mapenzi...acha mahusiano yako yawe ya kwako tu,kama ukigombana na mpenzi wako fanya maamuzi bila kumshirikisha rafiki, Kiufupi rafiki yako hatakiwi hata kukutana na mpenzi wako

Niwatakie kila la heri kwa mwaka 2025, Mwenyezi Mungu akatusaidie tutimize kila tutakaloliomba...Amen!

Happy new year in advance,mie nawapenda kinyama!

Uzi tayari.
Screenshot_20250108-075710_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom