Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Kiukweli nimejifunza kuwa,. Watu wema bado wapo na wanaishi ni vile tu sometimes tunakuwaga hatuna shukrani🙌🙌
Cc. kampelewele
Cc. kampelewele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1- Usimuamini binadamu yoyote 100%, cas utakua very dissapointed sana ndani ya dakika 1 tu na utajutia sana. Amini kidogo, kua makini sana katika kila jambo.
2-privacy ni kitu muhimu sana kwenye maisha yako yote. Chagua kipi umshirikishe nani na kwa sababu gani, sio kila jambo ni la kumshirikisha yoyote tule, just choose well.
Umejifunza nini jirani😂Sijasikia milio, wifi sijasikia miluzi 😹😹
Pata glass moja ya tequila unisimulie vizuri kwanza..!!
Kiukweli nimejifunza kuwa,. Watu wema bado wapo na wanaishi ni vile tu sometimes tunakuwaga hatuna shukrani🙌🙌
Cc. kampelewele
Pole sana, nilikutafuta nikawa sikuoni kumbe upo kupewa mnyoosho 😹😹😹Wana wa Israel wameninyoosha huu mwaka....nafikiri walikuwa wanaufosi kupitia mimi 🤦♀️
Hii 'Kibama' maana yake nini tena mama la mama?
Mimi nimejifunza kuwa kila kitu kikubwa huanza kidogo kidogo. Mwaka huu nimefanya mambo makubwa kwa kuanza kidogo ikiwemo ujenzi, kuwekeza katika ardhi wakati mwanzo nilikuwa naogopa.Happy holidays people and long time...i missed you
Tukiwa tunaelekea kumalizia mwaka 2024 ni mambo gani umejifunza through out the year?
Binafsi mwaka huu nina mengi ya kusimulia kwa hawa the so called "MARAFIKI" nitaandika makubwa mawili tu ili kuokoa muda
KWANZA,nimejifunza kwamba urafiki na pesa haviendani...nikiwa namaanisha mwaka huu 2024 nimpoteza marafiki wengi sana sababu ya zile mambo za kupenda kuonea huruma rafiki akiwa na shida ya pesa matokeo yake mnaanza kusumbuana kwenye malipo
PILI, Usiruhusu rafiki yako awe na usemi wowote kuhusu mahusiano yako ya mapenzi...acha mahusiano yako yawe ya kwako tu,kama ukigombana na mpenzi wako fanya maamuzi bila kumshirikisha rafiki, Kiufupi rafiki yako hatakiwi hata kukutana na mpenzi wako
Niwatakie kila la heri kwa mwaka 2025, Mwenyezi Mungu akatusaidie tutimize kila tutakaloliomba...Amen!
Happy new year in advance,mie nawapenda kinyama!
Uzi tayari.
Pole sana, nilikutafuta nikawa sikuoni kumbe upo kupewa mnyoosho 😹😹😹
Ungeniita nikusaidie kupambana nao mahi.!
Kibama (kitoumbua) bhana 🤣
Niko good ciccyWatu wema wapo,kuna watu wana bahati ya kukutana nao
Hivi unaendeleaje Leejay49 ?
Mimi nimejifunza kuwa kila kitu kikubwa huanza kidogo kidogo. Mwaka huu nimefanya mambo makubwa kwa kuanza kidogo ikiwemo ujenzi, kuwekeza katika ardhi wakati mwanzo nilikuwa naogopa.
Pia nimejifunza kwamba ukitaka kumsaidia ndugu yako au mtu wa karibu, usichukue fedha nyingi ukampa eti mtaji wa biashara. Anza kwa kumpa kidogo uone anaifanyia nini maana vinginevyo utachoma pesa na mwisho umkasirikie au mgombane. Ninavyoona nimechoma ela kwa kumpa mtu mtaji mkubwa kuliko aliokuwa kaomba na biashara naona baada ya miezi 6 hata kodi ya frem nusu hawezi kulipa.
Furahia maisha unavyoweza kufa ni dk sifuri (Ghorofa la kkoo limeondoka na wapendwa wangu) 🥹Umejifunza nini jirani😂
Niko good ciccy
This year nimekutana na watu ambao sikutengemea wangenifikisha nilipofika,. though wengine nimeachana nao sio kwa namna nzuri ila naamini ni makosa yangu na kujisahau plus kutowalipa fadhila,.
Lakini bado wema wako wengi mnoo na wanaishi🤦🏾♀️
Pole sana jirani,.Furahia maisha unavyoweza kufa ni dk sifuri (Ghorofa la kkoo limeondoka na wapendwa wangu) 🥹