Mambo gani umejifunza 2024?

1
Hakuna rafiki wa kudumu chini ya Mbingu
2.Usujaribu kudhania kuwa flani atakusaidia ,wanakula mezani kwako siku ya shida watakaa mbali nawe
3.Mungu tuu ndiye mwenye urafiki wa kudumu na mtu.
4.usimwamini mwanamke wako asilimia mia.
 
Nmejifunzaa n rahisi kuach sigara kuliko pombe...especially ukiwa kwenye ndoaa...kuna namna pombe inasaidiaa kulala usku..ilaa piaan nmejifunzaa piaa inaezekana kuacha kushabikia mamipiraa kihivyo..watu wako kumake money with our stupidty..kwenye siasaa ndo nmeumia TL ndo yko vile..naaachaa kufatilia sias kbs
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…