yusufu SAidy
Member
- Oct 18, 2015
- 53
- 42
Chukua Pepsi big nalipa MimiNimejifunza UTULIVU....sipaniki na jambo lolote mambo yanaflow smoothly
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua Pepsi big nalipa MimiNimejifunza UTULIVU....sipaniki na jambo lolote mambo yanaflow smoothly
Asante...inaonyesha we ni mdau wa utulivu hata comment zako tangu ujiunge ni chache mno😅Chukua Pepsi big nalipa Mimi
Umeshajipata bebiNimejifunza UTULIVU....sipaniki na jambo lolote mambo yanaflow smoothly
Kwa hiyo Xmas ndio imeisha kimyakimya bebi?Umeshajipata bebi
It is very humbling sadness. Hujarudi moshi bebi mama kujumuika na familiaKwa hiyo Xmas ndio imeisha kimyakimya bebi?
HaswaaaaAsante...inaonyesha we ni mdau wa utulivu hata comment zako tangu ujiunge ni chache mno😅
Vipi kuhusu Lissu?Nimejifunza kwamba mbowe ni tapeli na ushirika wake wa chagadema
HahahaHappy holidays people and long time...i missed you
Tukiwa tunaelekea kumalizia mwaka 2024 ni mambo gani umejifunza through out the year?
Binafsi mwaka huu nina mengi ya kusimulia kwa hawa the so called "MARAFIKI" nitaandika makubwa mawili tu ili kuokoa muda
KWANZA,nimejifunza kwamba urafiki na pesa haviendani...nikiwa namaanisha mwaka huu 2024 nimepoteza marafiki wengi sana sababu ya zile mambo za kupenda kuonea huruma rafiki akiwa na shida ya pesa matokeo yake mnaanza kusumbuana kwenye malipo
PILI, Usiruhusu rafiki yako awe na usemi wowote kuhusu mahusiano yako ya mapenzi...acha mahusiano yako yawe ya kwako tu,kama ukigombana na mpenzi wako fanya maamuzi bila kumshirikisha rafiki, Kiufupi rafiki yako hatakiwi hata kukutana na mpenzi wako
Niwatakie kila la heri kwa mwaka 2025, Mwenyezi Mungu akatusaidie tutimize kila tutakaloliomba...Amen!
Happy new year in advance,mie nawapenda kinyama!
Uzi tayari.View attachment 3195491
ataichalenge systemVipi kuhusu Lissu?