Mambo gani umejifunza 2024?

1- Usimuamini binadamu yoyote 100%, cas utakua very dissapointed sana ndani ya dakika 1 tu na utajutia sana. Amini kidogo, kua makini sana katika kila jambo.

2-privacy ni kitu muhimu sana kwenye maisha yako yote. Chagua kipi umshirikishe nani na kwa sababu gani, sio kila jambo ni la kumshirikisha yoyote yule, just choose well.
 
Ukiwa huna hela mwanamke anakuona tàkataka.
 
Nimeelewa kwanini watu wanaogopa kutaja umri wao halisi.

Muda ni kitu cha thamani mno, tumia muda wako vizuri kufanya vitu vya maana kwako usije ishi kwa majuto.

Wengi wetu tupo hai lakini hatuishi.

Hatujitahidi hata kujaribu kuishi kwa malengo,

Huu ulimwengu wa kibepari unatutaka tuwe watumiaji tu, na sio waundaji/watengenezaji.

Haswa sisi watu wa 2000s kazi tunayo.
 
hapo pa the so-called 'marafiki', dah..!! kubabake sina hamu kilichonikuta mwaka huu..!!

Nimeamini hawa raia tunawaita 'rafiki' zetu wana uwezo hata kutuzika tukiwa hai na kuja kulia msibani..!!

Nimejifunza tuna watu tu 'tunaofahamiana' nao ndiyo wametuzunguka, kumpata the so-called RAFIKI kwenye haya maisha siyo rahisi kama nilivyodhani, ptuuuuh'..!🙌

sihitaji marafiki - Fid Q ft. Yvonne Mwale..!!
 
Sijasikia milio, wifi sijasikia miluzi 😹😹

Pata glass moja ya tequila unisimulie vizuri kwanza..!!
 
Ni sahihi
 
Sijasikia milio, wifi sijasikia miluzi 😹😹

Pata glass moja ya tequila unisimulie vizuri kwanza..!!
acha tu wifi yangu mzuri, ila kuna rafiki yangu wa karibu huku duniani ushwetaaani alonifanyia, angepewa sumu angeniua..
Na nikawa nabisha na kumtetea mpaka pale nilipoonyeshwa ushahidi na mtu zaidi ya mmoja...!!
 

Nimeelewa kote isipokuwa hapo nilipobold
Ujumbe mzuri mshamba_hachekwi
 
Pole sana mwanangu
 
acha tu wifi yangu mzuri, ila kuna rafiki yangu wa karibu huku duniani ushwetaaani alonifanyia, angepewa sumu angeniua..
Na nikawa nabisha na kumtetea mpaka pale nilipoonyeshwa ushahidi na mtu zaidi ya mmoja...!!
Pole sana 😥
Hao ndio binadamu ni hatari zaidi ya wanyama.!
Kaa nao kimachale usimuamini mtu.!!
 

Ukweli mchungu huu...tuna watu tunaofahamiana nao,sio marafiki
Tuishi kwenye huo muongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…