Mambo gani umejifunza 2024?


Namba 2 📌📌
 
Mimi nimejifunza kuwa kila kitu kikubwa huanza kidogo kidogo. Mwaka huu nimefanya mambo makubwa kwa kuanza kidogo ikiwemo ujenzi, kuwekeza katika ardhi wakati mwanzo nilikuwa naogopa.
Pia nimejifunza kwamba ukitaka kumsaidia ndugu yako au mtu wa karibu, usichukue fedha nyingi ukampa eti mtaji wa biashara. Anza kwa kumpa kidogo uone anaifanyia nini maana vinginevyo utachoma pesa na mwisho umkasirikie au mgombane. Ninavyoona nimechoma ela kwa kumpa mtu mtaji mkubwa kuliko aliokuwa kaomba na biashara naona baada ya miezi 6 hata kodi ya frem nusu hawezi kulipa.
 
Pole sana, nilikutafuta nikawa sikuoni kumbe upo kupewa mnyoosho 😹😹😹
Ungeniita nikusaidie kupambana nao mahi.!

Kibama (kitoumbua) bhana 🤣

Mwaka 2025 naomba nikukaribishe in advance upambane nao...mie nimenyoosha mikono

Haya maneno unayatoaga wapi? Mbona huku duniani sijawahi yasikia 😂😂
 
Watu wema wapo,kuna watu wana bahati ya kukutana nao
Hivi unaendeleaje Leejay49 ?
Niko good ciccy

This year nimekutana na watu ambao sikutengemea wangenifikisha nilipofika,. though wengine nimeachana nao sio kwa namna nzuri ila naamini ni makosa yangu na kujisahau plus kutowalipa fadhila,.
Lakini bado wema wako wengi mnoo na wanaishi🤦🏾‍♀️
 

Asante mkuu
Hili la kuanza kidogo kidogo naona wengi wetu litatufaa sana
 

Vizuri
Kikubwa kila siku tunaendelea kujifunza,hao ulioachana nao kwa namna mbaya unaweza kurekebisha yasitokee tena
 
Furahia maisha unavyoweza kufa ni dk sifuri (Ghorofa la kkoo limeondoka na wapendwa wangu) 🥹
Pole sana jirani,.
Huku kwetu watu walikua wanakufa kwa kufatana nyumba kwa nyumba,. Ajali mbaya sana jirani tunakufa mnooo
Tuishi tu kwakweli,.


Halafu niko na ushuhud aaisee,. Ile Novena ni moto wa kuotea mbali jirani🙌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…