Mambo gani umejifunza 2024?

Mwaka 2025 naomba nikukaribishe in advance upambane nao...mie nimenyoosha mikono

Haya maneno unayatoaga wapi? Mbona huku duniani sijawahi yasikia πŸ˜‚πŸ˜‚
😹😹😹
Nitakuja tuwalipizie minyoosho hakuna kukaa na madeni mahi.!!
 
nimejifunza kwamba kutumia mdomo vibaya ni kitu mbaya sana,

lakini pia nimejifunza kwamaba,
" mtaka yote kwa pupa hukosa yote"
 
Pole sana jirani,.
Huku kwetu watu walikua wanakufa kwa kufatana nyumba kwa nyumba,. Ajali mbaya sana jirani tunakufa mnooo
Tuishi tu kwakweli,.


Halafu niko na ushuhud aaisee,. Ile Novena ni moto wa kuotea mbali jiraniπŸ™Œ
😍😍😍 Ile novena haingopi ukisali kwa kumaanisha jirani.!!
Mi huu mwaka nimeupiga mwingi mpk natetemeka.!!
 
Nimejifunza kuwa TAL ni muongo!
 

Attachments

  • 5900516-2dae5c1f3887d759229713b8a563fcc1.mp4
    7.1 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…