Mambo gani umejifunza 2024?

Wazee wa sheria mkononi mna kitu,mtafika mbali
Kwa kweli nimefaidika mno na PULI. Najuta Kuchelewa kujua faida ya kuchukua sheria mkononi.
Nilikuwa nawadharau sana wapiga puli na nilikuwa nawacheka na kuwatukana kuwa ni madomo zege.

Naomba radhi kwa wapiga puli wote, ni ushamba wa K ulikuwa unanisumbua. Naomba mnisamehe nilikuwa sijui nilisemalo.

Naomba kuwaomba radhi, naomba mnisamehe. Hata humu JF nilikuwa nawaponda mno. Naomba mnisamehe nilikuwa na ushamba wa K.
 
Katika kufikia malengo yako, usikubali mtu akakukatisha tamaa

Jiwekee malengo, na onesha juhudi katika kulifanikisha

Sio vibaya kufanya reconciliation na Mola wako pia, kadri tunavyohesabu miaka ndivyo tunavyolikaribia Kaburi

Mungu atujaalie pumzi na atupe nafasi nyingine tuuone Mwaka mpya 2025

Heri ya Mwaka mpya kwenu nyote
 
Nimeelewa kote isipokuwa hapo nilipobold
Ujumbe mzuri mshamba_hachekwi
Tunafanywa tupoteze muda wetu na pesa zetu kwenye mambo yasiyo muhimu sana kama mitandao ya jamii ili kutajirisha makampuni makubwa.

Mwisho wa siku watu wanakuwa watumiaji tu; social media addicts, walevi, wacheza kamari lakini maisha yao hayana muelekeo
 
Mimi ninakupenda ila Nina tabia ya kutokutunza siri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…