Mambo gani umejifunza 2024?

Mambo gani umejifunza 2024?

Wazee wa sheria mkononi mna kitu,mtafika mbali
Kwa kweli nimefaidika mno na PULI. Najuta Kuchelewa kujua faida ya kuchukua sheria mkononi.
Nilikuwa nawadharau sana wapiga puli na nilikuwa nawacheka na kuwatukana kuwa ni madomo zege.

Naomba radhi kwa wapiga puli wote, ni ushamba wa K ulikuwa unanisumbua. Naomba mnisamehe nilikuwa sijui nilisemalo.

Naomba kuwaomba radhi, naomba mnisamehe. Hata humu JF nilikuwa nawaponda mno. Naomba mnisamehe nilikuwa na ushamba wa K.
 
Katika kufikia malengo yako, usikubali mtu akakukatisha tamaa

Jiwekee malengo, na onesha juhudi katika kulifanikisha

Sio vibaya kufanya reconciliation na Mola wako pia, kadri tunavyohesabu miaka ndivyo tunavyolikaribia Kaburi

Mungu atujaalie pumzi na atupe nafasi nyingine tuuone Mwaka mpya 2025

Heri ya Mwaka mpya kwenu nyote
 
Nimeelewa kote isipokuwa hapo nilipobold
Ujumbe mzuri mshamba_hachekwi
Tunafanywa tupoteze muda wetu na pesa zetu kwenye mambo yasiyo muhimu sana kama mitandao ya jamii ili kutajirisha makampuni makubwa.

Mwisho wa siku watu wanakuwa watumiaji tu; social media addicts, walevi, wacheza kamari lakini maisha yao hayana muelekeo
 
Happy holidays people and long time...i missed you

Tukiwa tunaelekea kumalizia mwaka 2024 ni mambo gani umejifunza through out the year?

Binafsi mwaka huu nina mengi ya kusimulia kwa hawa the so called "MARAFIKI" nitaandika makubwa mawili tu ili kuokoa muda

KWANZA,nimejifunza kwamba urafiki na pesa haviendani...nikiwa namaanisha mwaka huu 2024 nimpoteza marafiki wengi sana sababu ya zile mambo za kupenda kuonea huruma rafiki akiwa na shida ya pesa matokeo yake mnaanza kusumbuana kwenye malipo

PILI, Usiruhusu rafiki yako awe na usemi wowote kuhusu mahusiano yako ya mapenzi...acha mahusiano yako yawe ya kwako tu,kama ukigombana na mpenzi wako fanya maamuzi bila kumshirikisha rafiki, Kiufupi rafiki yako hatakiwi hata kukutana na mpenzi wako

Niwatakie kila la heri kwa mwaka 2025, Mwenyezi Mungu akatusaidie tutimize kila tutakaloliomba...Amen!

Happy new year in advance,mie nawapenda kinyama!

Uzi tayari.
Mimi ninakupenda ila Nina tabia ya kutokutunza siri
 
Back
Top Bottom