Mambo gani umejifunza 2024?

Mambo gani umejifunza 2024?

Kama mwanaume, nia ya kupata mafanikio ni kuongeza heshima na thamani yako.
Binafsi, nashindana na mzee wangu. Pale alipokosea mi ndo narekebisha. Lengo ni kuhakikisha natimiza hata nusu ya malengo yake aliyoshindwa. Naamini mimi ni new version of him.

Pili, mahaters zangu wakubwa ni maex zangu mpaka sasa. Sababu kubwa ni tamaa zao. Najua bado wanani stalk kuhakikisha kama walifanya uamuzi sahihi au la. Lengo langu wapate majibu ya maswali yao.
Jamaa upo smart sana...
 
hapo pa the so-called 'marafiki', dah..!! kubabake sina hamu kilichonikuta mwaka huu..!!

Nimeamini hawa raia tunawaita 'rafiki' zetu wana uwezo hata kutuzika tukiwa hai na kuja kulia msibani..!!

Nimejifunza tuna watu tu 'tunaofahamiana' nao ndiyo wametuzunguka, kumpata the so-called RAFIKI kwenye haya maisha siyo rahisi kama nilivyodhani, ptuuuuh'..!🙌

sihitaji marafiki - Fid Q ft. Yvonne Mwale..!!
Mkuu ujafukia mate yako
 
Kama wanavyosema kuwa you're what you eat, basi people around us wana influence ktk maisha hapa inaweza kuwa positive or negative sasa basi jaribu kupata marafiki wapya, jifunze mambo mapya na tembelea sehem mpya. Huwezi kuwa unataka kuwa labda rubani ila unashinda kwenye banda la fundi maiko anaeshona shati la kijani lilodariziwa na njano shingoni na analiashona kwa week nzima na bado haliishi halafu utegemee matokeo chanya.
Blaza mifano gani hiyo..
Hivo nikitaka kuwa rubani nishindw na marubani seriously 😳 😳 😳 😳
 
Tatu kavu inakuaje.....

Mbona nilienda 15hrs saa mbili natetemeka 🥺
Huna imani wewe😂😂😂,.

Unafunga siku tatu mfululizo,. Ila mama angu alinambia kama huwezi kuvumilia unaweza ukawa unakunywa maji ule mda wa kufuturu jioni lakini usile kitu kingine chochote zaidi ya maji mpaka siku tatu zikamilike
 
Back
Top Bottom