Tipstipstor
JF-Expert Member
- Nov 29, 2021
- 1,528
- 3,352
Sitaki mwanangu awe polisi kwani walishanifanyia vitendo vibaya tena mbele ya watoto wangu,nilipigwa vibao mbele yao wakawa wanalia,nilijikakamua na kuleta noma ambayo hao PT hawatasahau maishani mwao kwani si mwenye jicho, jino,uso kilichotoka salama,ilinigharamu sana baada ya hapo but nilirudisha heshima kwa wanangu.Ahlan wa sahlan
Ukiwa kama mwanadamu lazima kuna mambo mabaya umeyapitia katika maisha yako ambayo hutamani mwanadamu mwingine (mwanao,ndugu n.k) aje kuyajua na kuyapitia.
Binafsi sitapenda mtu yeyote hususani wanangu aje kujua kuhusu Kamari (kubeti).
Why? Ni ulevi ambao mtu akishauonja ni ngumu sana kuuacha.
Je wewe ni mambo gani hutapenda mwanao au ndugu yako ayapitie maishani mwake?
Karibu
Dunia hii Mama lukumba lukumba, dunia ina mwendo kama wa ngamia × 2.Sitaki mwanangu awe polisi kwani walishanifanyia vitendo vibaya tena mbele ya watoto wangu,nilipigwa vibao mbele yao wakawa wanalia,nilijikakamua na kuleta noma ambayo hao PT hawatasahau maishani mwao kwani si mwenye jicho, jino,uso kilichotoka salama,ilinigharamu sana baada ya hapo but nilirudisha heshima kwa wanangu.Toka siku hiyo niliwaambia siku niko hai au nimekufa nikisikia mmojawenu amekuwa polisi namlaani.Sumu ambayo nimewalisha sidhan kuna mwanangu anaweza kuwa PT
NYINGINE :Sitaki wanangu wanywe pombe hata kwa kuonja hili ni somo ambalo nawambia kila nikiwa nao,mie bado nakunywa na wameshuhudia madhara ya pombe kupitia kwangu,sidhani km wanaweza kunywa maishani mwao,pombe imenipotezea kazi za maana kama mara 3 nikawa takakata,nina kazi sasa naitunza km yai wanangu wameona ni jinsi kipindi cha pombe kupita kiasi kilivokuwa na kipindi cha sasa pombe za wastani kilivo
Mkuu hebu fafanua, dodoki ni kitu gani?Kuchemsha dodoki changa na kulila, si taki hiyo fedhea tena Dunia ya sasa sio Ile ya Jana, njaa kitu Cha mwisho ku fikiri kupita kwenye uzazi wangu isipokuwa kwa uzembe wao!
Ndo vileee wanguDunia hii Mama lukumba lukumba, dunia ina mwendo kama wa ngamia × 2.
Safi sana... Utatoboa soon...Kuishi maisha magumu...sitoacha kupambana juu ya wanangu.