Mambo gani umeyafanya au kuyapitia maishani mwako ambayo hutamani mwanao/mtu mwingine kuyapitia?

[emoji848]
 
Sio kukuelewa tu mkuu ni zaidi ya kukuelewa , lakini majuto yake hua makubwa mnoo.

Hii kitu inanisumbua kwa miaka mingi hadi leo hii
 
M
Sio kukuelewa tu mkuu ni zaidi ya kukuelewa , lakini majuto yake hua makubwa mnoo.hii kitu inanisumbua kwa miaka mingi hadi leo hii
Mkuu hapo yaani bado sijaelewa ni kuwa ukishatembea na wanawake wakubwa kiumri unakuwa huna tena feelings na mabinti wa age yako ama vp?
 
Growing up without a Mom. I always pray that nitawalea watoto wangu wakue na kupata akili za kujisimamia wenyewe. I dont know how to put that better.

I am a doting Mom, I miss my own Mom and I hope am half the woman she was.
to yeye njoo unitafsirie hapa,ngoja nikae kabisa hapa kwenye hiki kitofali.
 
Nimefikiria sana ila sijaona kitu ambacho ni kibaya na nimekifanya na sipendi wanangu wasije kukifanya,
Ila maisha yanabadilika kwa kasi sana na kila zama na kitabu chake,wanangu watachagua wenyewe aina ya maisha watakayo taka kuyaishi kutokana kwa muda huo wa maisha yao,

Namuomba Mungu tu awasimamie wapendane,wajiheshimu na kuheshimu watu,pia wampende Mungu,Discipline, attitude,trust..iwe silaha yao kubwa na kumtanguliza Mungu kwenye kila jambo lao.
 
M

Mkuu hapo yaani bado sijaelewa ni kuwa ukishatembea na wanawake wakubwa kiumri unakuwa huna tena feelings na mabinti wa age yako ama vp?

Ndio maana yake.
Huwezi kuwa na feelings za kutosha.
Huwezi kutoshelezwa kihisia na kingono na kabinti kama umezoea kuwazini hao kinamama.
Hawana tena cha kuogopa,kila kitu ameshafanya!
Kingine Ngono ina muunganiko wa kiroho,Mwanamke mwenye 55 yrs obviously amengonoka na kila design ya mikwaju.
Wamejaa nuksi tu na mikosi.
 
Pombe
 
Mi kwangu hakuna jambo nimepitia na mwanangu sitaki apitie.

Mimi ni mwanaume nakula mbususu, nikisema eti asile mbususu ataliwa yeye sasa. Kama ni domo zege basi apige hata malaya wanaojiuza apunguze genye asijebaka wadogo zake na mifugo. Labda awe ni wa kike ila na yeye inabidi aliwe asipoliwa atakua chizi. Ila tu wawe na akili ya baba yao wale/kuliwa kwa akili mingi na timing za hali ya juu sio kimasihara tu.

Nakula gambe, nikisema asile gambe kiukweli kabisa ntakua namnyima uhuru coz pombe ni nzuri sana kwa afya ya mwili na akili.

In short sina tabia mbaya ambazo mwanangu sitaki azirithi toka kwangu.
 
I like mom's b'se are matured
 
Yote ninayopitia mm sitaki aje ajipitie na yeye siku moja.

Kutoamin juu ya kile anachokipenda na kufata kile wengne wanacho kitaka.
Kuamin sana kwenye mapenzi
Kumlea kwa kuopogesha ogopesha kwa vipigo au kauli za ukali.
Nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…