Mambo gani upoteza bikra kwa mwanamke?

Mambo gani upoteza bikra kwa mwanamke?

wida

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2014
Posts
247
Reaction score
40
Hivi nikwel mwanamke bikra yake upotea kwa kucheza mpira,ku drive baiskeli?

Au mambo gani upoteza bikra kwa mwanamke
 
Hahaha, kweli wewe unawaza. Kwanza unajua bikira maana yake ni nini?
 
aaaa bikra ni chochote ambacho hakija wah tumika so kwa mwanamke ni yule asye wah kuingliwa.ok nakuckiliza
 
Kinachokuwazisha ni nini? Au unataka kuirudisha? Fanya mambo acha kuwaza kula mzigo endelea na maisha mengine. ... nikushauri anza kuwaza namna ya kupata hela la sivyo mda si mrefu huna chako acha mawazo unproductive wewe....
 
aaaa bikra ni chochote ambacho hakija wah tumika so kwa mwanamke ni yule asye wah kuingliwa.ok nakuckiliza

!
!
nisijifanye mjuvi sana ila kwa binadamu nadhani kigezo cha umri ni muhimu katika swala la bikira.....kwa mtoto chini ya miaka fulani fulani hususani kabla hajavunja ungo obvious atakuwa nayo na kama kuna mtu alimuingilia atakuwa alimuharibu tu na siyo kumtoa bikira. Kwa hiyo kwa tafsiri yangu mimi ni kwamba bikira ni mwanamke ambaye ameshavunja ungo na kwamba kibaiolojia yuko tayari kufanywa ila hajafanywa.
 
Rungu tu ndo linalotoa bk,bikira kutolewa means ameonja utamu wa mwanaume
 
Kinachokuwazisha ni nini? Au unataka kuirudisha? Fanya mambo acha kuwaza kula mzigo endelea na maisha mengine. ... nikushauri anza kuwaza namna ya kupata hela la sivyo mda si mrefu huna chako acha mawazo unproductive wewe....

unapenda sana hela inakuja kupotea
 
unapenda sana hela inakuja kupotea

We mwenyewe upo job au unasoma ili uje kuajiriwa upate hela ... username yako na unachokisema upo kinyume kabisa ungetumia unreality hapo sawa..... to me money is every thing
 
Back
Top Bottom