Mambo haya hatari

Mambo haya hatari

Eqlypz

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2009
Posts
4,065
Reaction score
643
Weekend njema.
2q32hvl.jpg
 
Kijana usiharibu ndoa za baba zako.
 
Kumbe hizi dawa za kichina ni bomba!! eeh?
 
Usafiri huu umetulia sana..na tatoo/kunguru juu..safi sana!!
 
Mhh.., inakuwaje unapishana nayo ukiwa unadrive pikipiki mitaa yenye vurugu za magari? Ukigeuka 2 umeuwawa!
 
Ukubwa wa makalio unahusiana na kiwango cha wadudu wa HIV...wamejaa kibao kwenye hayo makalio...so watch out
 
Na wala hatakukasirikia ukikata shingo....

Au hata ukimega kitu kama wala hatamind kabisa....


Kama huna mkataba wa ka-uhuru hako unaweza kusababisha mwenzi wako ajitie kitanzi. Mimi na mdau wangu tulishapeana ruksa kuona ila ni mwiko kusonga mbele zaidi ya hapo.

Kumega hakukubaliki. Mtukuze tu Mungu uende zako. Kila siku bucha zinajengwa tu. Ukishachagua moja tulia ufaidi nyama na siyo kutanga tanga!
 
Back
Top Bottom