Mambo haya hutafunzwa shuleni katu........

Ngoja niongeze nyama mkuu..

5 -- ukiachwa achika.


By mwandende.
 
Problem solving technique form one ,Kama sikosei inafundisha vzur

Uraia(civics)
 
Hapana umekosea haiko hivyo...Kitu inayoitwa ilmu. Elimu kiswahili, education kwa kimombo. Inajibu kikao ukichoandika....

Elimu ni nini?? What's education?

Majibu yanajitosheleza. Ujuzi na Maarifa anayoyaoata Mjuzwaji ili aweze kupambana na mazingira yyt yale.

Shida ipo waswahili hatupend kusoma vitabu
 
Hiwezi pia kufundishwa shule namna ya kupata hela au kuwa tajiri ama nasema uongo?
 
Biashara unaipeleka kijanja sana mkuu πŸ™πŸ™πŸ™
 
Ahsante mkuu, ila unajua ni sababu gan hatupendi kusoma vitabu??

Jibu nikuwa kusoma vitabu ni moja ya mambo ambayo hatufunzwi shulen.
 
Problem solving technique form one ,Kama sikosei inafundisha vzur

Uraia(civics)
Hahahaha nakumbuka piah. Lakin kuna tofauti ya kuwepo na kufundishwa.

Bhas nipe report hiyo migogoro kwenye jamii yako meisha mkuu?????
 
Vinapatikana wapi,na Bei gani nakala moja ili nichangie huduma.
Ahsante sana. Vitabu vipo buguruni mnyamani. Namba ya wakala +255 678 683 278 jina lake suleiman Kijogoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…