Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitaala ya kizungu ,haiwezi tatua matatizo ya jamii za ki Africa.shortly ni complicated to our environment.Maisha yetu yapo zigzag thus why uki apply formula yanagoma ,zaidi utaongeza migogoroHahahaha nakumbuka piah. Lakin kuna tofauti ya kuwepo na kufundishwa.
Bhas nipe report hiyo migogoro kwenye jamii yako meisha mkuu?????
Nashukuru, hili ndilo jawabu. Na ndiomana tunajaribu kuandika vitu ili watu wakumbuke hayo!!Mitaala ya kizungu ,haiwezi tatua matatizo ya jamii za ki Africa.shortly ni complicated to our environment.Maisha yetu yapo zigzag thus why uki apply formula yanagoma ,zaidi utaongeza migogoro
Nimeuliza Bei ya kitabu mi Niko taboraAhsante sana. Vitabu vipo buguruni mnyamani. Namba ya wakala +255 678 683 278 jina lake suleiman Kijogoo.
Kitabu hicho kinaitwaje ili niagize?Ahsante sana. Vitabu vipo buguruni mnyamani. Namba ya wakala +255 678 683 278 jina lake suleiman Kijogoo.
Nimekupata mkuu kwa kuwa mawasiliano umeweka kila kitu kipo sawa.
Hakuna anaeweza kukufunza nikweli, ila sio masomo yote dunian yapo ili ujifunze mengine yapo kutia nguvu na kukufanya wakati wa kufanya maamuzi unakuwa na rejea.KITU NINACHOSHUKURU NI KUWA; Hakuna shule ya kufundisha maisha hapo ndipo hata akija Psychologist, Psyrosopher au ndugu yake hawezi kutoa elimu ya maisha.
Ni kama NDOA huwezi pata elimu yake popote na ndiyo maana mnapewa cheti mapema ili mkajifunze mbele ya safari.
Mkuu sijaona majina ya vitabuKitabu hicho kinaitwaje ili niagize?
Sawa mkuu nimeongea yule jamaa ulienitumia namba kanipa mchakato mzima nafanya taratibu za kifedhaBei ya kila kitabu ni elf 10 tu.