PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Leo ni Julai lakini bado yuko ndani, toa ufafanuzi.
 
 
KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊAlmost there..!
 
KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊAlmost there..!
Kiongozi yupo wa Chama Tawala hadi Sasa,ameenda CHADEMA?πŸ˜πŸ˜πŸ˜†
Acheni basi siasa zenu UCHWARA,na utabiri wa kindezi
 
Katika hizo Taarabu ulizoandika, zimetimia kwa 2% tuu huku zingine zikiwa tayari zime-expire kama hiyo ya Lissu kuachiwa πŸ˜‚
 
Kiongozi yupo wa Chama Tawala hadi Sasa,ameenda CHADEMA?πŸ˜πŸ˜πŸ˜†
Acheni basi siasa zenu UCHWARA,na utabiri wa kindezi
Chadema Wengi wao ni wapuuzi tuu
 
KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
πŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊπŸ₯ΊAlmost there..!
Vp sasa yale matusi yenu kwa wanaccm πŸ˜‚ kumbe pamoja na kuwatukana ila mnawahitaji kama mlivyofanya kwa lowassa πŸ˜‚
 
Moja baada ya jingine
 
Kiongozi yupo wa Chama Tawala hadi Sasa,ameenda CHADEMA?πŸ˜πŸ˜πŸ˜†
Acheni basi siasa zenu UCHWARA,na utabiri wa kindezi
Umeandika kwa uchungu kama umekalia kipisi. Hii bado ni July wewe pimbi, kama inauma ichomoe
 
TATHMINI YA UTABIRI HUU:

NAMBA 1 - Haikutimia mwezi Juni, bila shaka July ya wiki inayoanza kesho, itatimia..

NAMBA 2 - Imetimia kidogo, hapo haijakiathiri CHADEMA kwa namna yoyote..

NAMBA 3 - Haujaona, labda wako huko wanaugua kimya kimya...

NAMBA 4 - Haijaanza. Lakini kuna kila dalili kuwa wameshaanza kuvurugana na watakuja wengi...

NAMBA 5 - Inaweza kutokea kabla ya au ndani ya mwezi August Only if watamwachia Mwenyekiti wetu Tundu Lissu na kukubali kukaa mezani kukubaliana kufanya some electoral reforms za kisheria na kikatiba....

NAMBA 6 - βœ”βœ”βœ” Mtafaruku upo na inaendelea. Watanganyika wanasema, there's no way Wanzanzibari kuendelea kuikalia na kutawala Tanganyika...

NAMBA 7 - Time is not yet. Hata hivyo, uchaguzi wa mwaka ni very unpredictable kwa 100%. Unaweza usiwepo kabisa kwa tarehe na muda wa mwaka huu. #NoReformsNoElection is perfectly working...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…