PreGE2025 Mambo haya saba yatatokea kabla ya uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Leo ni Julai lakini bado yuko ndani, toa ufafanuzi.
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.

4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Screenshot_20250713-144548.jpg
 
KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
🥺🥺🥺🥺Almost there..!
 
Kiongozi yupo wa Chama Tawala hadi Sasa,ameenda CHADEMA?😁😁😆
Acheni basi siasa zenu UCHWARA,na utabiri wa kindezi
 
Katika hizo Taarabu ulizoandika, zimetimia kwa 2% tuu huku zingine zikiwa tayari zime-expire kama hiyo ya Lissu kuachiwa 😂
 
KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.
🥺🥺🥺🥺Almost there..!
Vp sasa yale matusi yenu kwa wanaccm 😂 kumbe pamoja na kuwatukana ila mnawahitaji kama mlivyofanya kwa lowassa 😂
 
1) TUNDU LISSU KUACHIWA HURU NA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI KUUNDWA UPYA.

  • Ifikapo mwezi Juni TUNDU A. LISSU ataachiwa huru Kwa madai ya jamhuri kuamua kutokuwa na Nia ya kuendelea na kesi hiyo.
  • Hili litaambatana na reforms kadhaa ndani ya tume ya uchaguzi Pamoja na mabadiliko ya viongozi ndani ya tume hiyo kutokana na case za maradhi na vifo vya baadhi ya member wanaounda tume hiyo katika ngazi ya kitaifa.

2) WANACHADEMA WA KUNDI LA G-55 KUKIHAMA CHAMA PAMOJA NA KIONGOZI MKUBWA WA UPINZANI ALIYEMALIZA MUDA WAKE.

Kutakuwa na hama hama ya wanachama wengi Toka CHADEMA kwenda VYAMA vingine vya upinzani Kwa Nia ya kutaka kugombea na wengine watahama kutokana na kufukuzwa chama Kwa kukiuka kanuni na maadili ya Chama.

- Karata mama inayosukwa ni baadhi kuelekea ACT-WAZALENDO na wengine NCCR MAGEUZI

3) HALI YA AFYA YA VIONGOZI WENGI KUDHOOFIKA NA WENGINE KUSHINDWA KUONEKANA KWENYE MAJUKWAA YA KISIASA NA KAMPENI.

4) KUNDI KUBWA LA VIONGOZI KUHAMA TOKA CHAMA TAWALA KWENDA CHADEMA IFIKAPO MWEZI JULAI.

-
Hawa ni wale Ambao wataenda kumuunga mkono mgombea WA nafasi ya urais Toka CHADEMA AMBAYE KWASASA YUKO CCM.

5) CHADEMA KURUDI TENA KWENYE MBIO ZA UCHAGUZI MKUU

Reforms zitakazo fanyika pamoja na ushawishi wa viongozi WA DINI na WATU NYETI Toka idara na Vyombo vya usalama na ulinzi utawashawishi CHADEMA kurudisha majeshi ulingoni.

6) SINTOFAHAMU KUBWA NDANI YA IDARA YA USALAMA.

- idara kugawanyika Juu ya yupi wamuunge mkono Kwenye MBIO za urais.

7) UCHAGUZI USIOTABIRIKA KIRAHISI ZAIDI YA ULE WA 2015 KUTOKEA.
Moja baada ya jingine
 
Kiongozi yupo wa Chama Tawala hadi Sasa,ameenda CHADEMA?😁😁😆
Acheni basi siasa zenu UCHWARA,na utabiri wa kindezi
Umeandika kwa uchungu kama umekalia kipisi. Hii bado ni July wewe pimbi, kama inauma ichomoe
 
TATHMINI YA UTABIRI HUU:

NAMBA 1 - Haikutimia mwezi Juni, bila shaka July ya wiki inayoanza kesho, itatimia..

NAMBA 2 - Imetimia kidogo, hapo haijakiathiri CHADEMA kwa namna yoyote..

NAMBA 3 - Haujaona, labda wako huko wanaugua kimya kimya...

NAMBA 4 - Haijaanza. Lakini kuna kila dalili kuwa wameshaanza kuvurugana na watakuja wengi...

NAMBA 5 - Inaweza kutokea kabla ya au ndani ya mwezi August Only if watamwachia Mwenyekiti wetu Tundu Lissu na kukubali kukaa mezani kukubaliana kufanya some electoral reforms za kisheria na kikatiba....

NAMBA 6 - ✔✔✔ Mtafaruku upo na inaendelea. Watanganyika wanasema, there's no way Wanzanzibari kuendelea kuikalia na kutawala Tanganyika...

NAMBA 7 - Time is not yet. Hata hivyo, uchaguzi wa mwaka ni very unpredictable kwa 100%. Unaweza usiwepo kabisa kwa tarehe na muda wa mwaka huu. #NoReformsNoElection is perfectly working...
 
Back
Top Bottom