Gol D Roger
JF-Expert Member
- Sep 16, 2023
- 2,316
- 6,082
- Thread starter
- #81
๐ ๐ ๐ ๐Ukilamba teuzi ya mama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ๐Ukilamba teuzi ya mama
Kweli, ilishawahi kunitokea9. Kuna hiii ya kuota mambo mabaya mfano kifo cha mtu wako wa karibu sana au jambo lingine lolote baya ambalo linakuumiza
Kuna kafuraha huwa kanakuja unaposhtuka kutoka usingizini kuwa ilikuwa ni ndoto
maisha yanakuwa in full controlYah ina feel nzr
Naipenda hiyo character.....jibu ni ndiyo ninayoKwani wewe guns mapenzi ya dhati mkuu?
Naenjoy kuambiana Nakupenda na mzazi.Namba 7 tamu sana asikuambie mtu.
Nyingine ongeza, mwanao kukuambia anakupenda.
Itakutafuta tafadhali.Naipenda hiyo character.....jibu ni ndiyo ninayo
Naunga mkono hoja1. Ukipata mpenzi mnaependana sana.
2. Ukipata mtoto wako wa kwanza.
3. Ukifunga ndoa.
4. Ukinunua gari lako la kwanza.
5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa)
6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga
7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya kuhisi una ukimwi
8. Kutunukiwa mara ya kwanza
Kama ipo nyingine ongezea....
Hata mimi aisee hakuna kingine cha kunishtua zaidi ya pesa pesa pesa๐ฐKupata kazi inayolipa 7 to 8 figures ndio kitu cha kuweza kunifurahisha kwa sasa.
Kupendana ni zama za kale. Siku hizi ni nipe nikupeUkipata mpenzi mnaependana sana.
Yes, ndo maana sometimes I think ingependeza ningezaliwa zamani when people loved each other and when love was everything.Kupendana ni zama za kale. Siku hizi ni nipe nikupe