Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

Ha ha ha ha ha wenzetu wanasom sisi tupo busy kuruka ukuta na kukaa chooni hapa tunapita kama hatupaoni
Wale wenzangu na mimi tulikua tunabeba mahindi ya kuchoma na maandazi kwenye mabegi ya shule mnaonaje hii mada? Naomba muwasalimie hapo wizara ya chakula
 
Mambo Huangamia (kwa Kiingereza "Things Fall Apart") ni riwaya iliyoandikwa na Chinua Achebe. Ilitolewa mwaka wa 1958 . Hadithi ya riwaya hii imefuatiwa na Hakuna Starehe Tena (1960) na
Mshale wa Mungu (1964).

Mkondo wa hadithi
Mhusika mkuu anaitwa Okonkwo , tajiri katika kijiji cha Umuofia . Huyo Okonkwo hufuata mila na desturi za Kiigbo vizuri sana ili kumshinda babake ambaye ni mduni. Katika kufuata hizo mila alifika hatua ya kumuua mwana wake wa kambo na wanakijiji wakakubali. Siku moja lakini Okonkwo kwa bahati mbaya alimuua mwanakijiji mwingine na sasa akahukumiwa kuondoka kijijini kwake kwa miaka saba zinavyoamuru mila za kijiji. Huko uhamishoni Okonkwo alikutana na wamisionari Wazungu, akasikitika sana kugundua mwana wake mwenyewe aliacha mila za Kiigbo na kukubali dini ya Ukristo. Okonkwo akirudi kijijini baadaye akakuta hata maisha ya kijijini yameathiriwa na hiyo dini mpya. Akaanza kuupigia vita Ukristo, hatimaye lakini aliona kuwa haiwezekani kurudi kwa maisha ya kimila akajiua kwa kujinyonga.
Kwa mujibu wa kiingereza changu cha tuisheni hiyo..." Things fall apart"...eti mimi ningetafsiri kuwa ..."mambo yameharibika"...au..."mambo shaghalabaghala"...au..."hali muhali"..."mambo si mambo tena"...nk...nk!
 
"Okonkwo was well known throughout the nine villages and even beyond. His fame rested on solid personal achievements......"
Umenikumbusha mbali sana mkuu, nilikua nimekariri page 2 za mwanzo. Long time, way back. No Longer at Ease nimekisoma pia, kinaeleza jinsi mtoto wa kiume wa Okonkwo alivyopokea Ukristo na kusomeshwa na kijiji UK.
African writers wa zamani walikua wabunifu sana, walikua wanaandika living stories, you could feel it, waliweza kukamata vizuri kabisa imagination ya msomaji.
1. Things Fall Apart
2. No Longer at Ease
3. Weep Not Child
4. Encounters from Africa
5. Petals of Blood
6. A grain of wheat
7. Is It Possible?
8.Until Further Notice

These were my favorite books, nilikuaga navyo vyote, vilinikamata sana ilibidi niviibe library ili niwe navyo permanently.
 
Nwakibie recognizes that Okonkwo is an ambitious self-starter, so he agrees to help Okonkwo begin his farming operation.
'I have learned to be stingy with my yams. But I can trust you. I know it as I look at you. As our fathers said, you can tell a ripe corn by its look,'
 
" Don't put your nose to things that don't concern you" aliambiwa Okonkwo alipokuwa anamtolea macho dereva wa Lori alilopanda, pale dereva alipokuwa anataka kutoa rushwa kwa askari trafiki.
 
The lad, Ikemefuna, his death...okonkwo was real cruel torture man!
 
Baba yake Okonkwo alikuwa mla madeni hodari pale kijijini kama unamdai hela ndogo halafu ukaenda kumdai anakuambia
"The sun rises first to the standing ones then to the sitting ones"
kwa hiyo lazima usubiri awalipe wanaomdai madeni makubwa halafu ndo na wewe utalipwa.
hadi anakufa alikuwa anadaiwa na umati wa wanakijiji.
Mzee alikuwa mjanja sana japo in okonkwo view alipotray kama idle, lazy, na unproductive man!
 
"Eneke the bird once said since men have learnt to shoot without missing i have learned to fly without perching(stoping).
Chinua Achebe ni balaa(RIP)
[emoji23] [emoji23] ngoja nikifukue kabatini hiki kitabu...
Nilikuwa nakipenda balaa
 
"How can a man who killed five people in the battle fall to pieces because he has added a boy to their number?
Okonkwo you have become a woman indeed"
Then he killed Ikemefuna... Okonkwo was brutal
 
"A man brags his own penis even if it is small" haka kamsemo alikasema mzee Unoka nadhan

Hadi nimemkumbuka ticha wetu wa literature Bw. Mnaya mitaa ya Usangi pale
Literature ya chinua achebe form iv ukifeli unazungusha[emoji23] [emoji23]
 
Kwa mujibu wa kiingereza changu cha tuisheni hiyo..." Things fall apart"...eti mimi ningetafsiri kuwa ..."mambo yameharibika"...au..."mambo shaghalabaghala"...au..."hali muhali"..."mambo si mambo tena"...nk...nk!
Uko right ....yaan ni " mambo yametindiganya"
 
"Okonkwo was well known throughout the nine villages and even beyond. His fame rested on solid personal achievements......"
Umenikumbusha mbali sana mkuu, nilikua nimekariri page 2 za mwanzo. Long time, way back. No Longer at Ease nimekisoma pia, kinaeleza jinsi mtoto wa kiume wa Okonkwo alivyopokea Ukristo na kusomeshwa na kijiji UK.
African writers wa zamani walikua wabunifu sana, walikua wanaandika living stories, you could feel it, waliweza kukamata vizuri kabisa imagination ya msomaji.
1. Things Fall Apart
2. No Longer at Ease
3. Weep Not Child
4. Encounters from Africa
5. Petals of Blood
6. A grain of wheat
7. Is It Possible?
8.Until Further Notice

These were my favorite books, nilikuaga navyo vyote, vilinikamata sana ilibidi niviibe library ili niwe navyo permanently.

Is it possible ni mwisho wa matatizo!...Lolienka nilimkubali mnoo
 
"A man brags his own penis even if it is small" haka kamsemo alikasema mzee Unoka nadhan

Hadi nimemkumbuka ticha wetu wa literature Bw. Mnaya mitaa ya Usangi pale
"A man brags his own penis however tiny" I will marry when i want-Ngugi Wa Thiongo
 
Back
Top Bottom