Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

kuna majamaa walipiga msuli kama miez 10 lakini wapi Msuli tembo.matokeo sisimizi.

Yaani kama sio Literature now ningekuwa Advance pale Airwing High School maeneo ya Ukonga au Jitegemee JKT High School
Dah na kweli asee...mi nilipata B asee nililia siku tatu sikuamini coz wengi walizungusha na mswaki kwenye group langu!.....ila nilikuwa nakaza msuli kinoma!
 
ahaha jamaa walikula tabu kweli ndo wakaenda kuishi kwenye kinyumba cha mbavu za mbwa huko manzese.
 
Good,huyo dogo ndiye Toundi?
 
Nakumbuka baada ya kukisoma kitabu tulionyeshwa movie yake tukiwa form 3, ilikuwa tamu balaa.

Hivi kwanini Nigeria, Kenya, Ghana, Uganda na South Africa zinatoa waandishi wengi wazuri wa literature kwa lugha ya kiingereza kuliko Tanzania na nchi nyingine za Afrika?
 
"If i hold her hand she says don't touch,if i hold her foot she says don't touch,but when i hold her waist-beads she pretends not to know"
This is from Okot P'Bitek and not Chinua Achebe, I stand to be corrected!
 
"A man brags his own penis even if it is small" haka kamsemo alikasema mzee Unoka nadhan

Hadi nimemkumbuka ticha wetu wa literature Bw. Mnaya mitaa ya Usangi pale
Kibamia ni shida!!!!
 
jamaa walikuwa wanafanya ujinga sana.
Walikuwa na msitu wao ambao walikuwa wanatupa uko mapacha na Albino na kulikuwa wamejaa mizimu wengi ukiingia lazima ufe,sasa walipokuja wamisionari wakaomba sehemu ya kujenga kanisa wazee wa kijiji wakawapa ile sehemu ya msitu wakiamini jamaa watakufa hapohapo maana yale ni makazi ya mizimu.
Wamisionari wakafyeka na kujenga kanisa wiki ikapita,mwezi ukapita hadi mwaka hakuna mmisionari aliyekufa,wanakijiji wakaona miungu yao ni chamtoto mbele ya Mungu wa wamisionari wakaanza kujiunga church.
 
"A man brags his own penis even if it is small" haka kamsemo alikasema mzee Unoka nadhan

Hadi nimemkumbuka ticha wetu wa literature Bw. Mnaya mitaa ya Usangi pale
Huyo ni Ngugi wa Thiong'o kwenye I WILL MARRY WHEN I WANT.
 
Mbona na sisi tunao wazuri tu kama Emmanuel Mbogo,Kehizilahabi,Mbunda Msokile,Shaban Robert,Shafi A Shafi na wengine wengi.
Sema hawa wa nchi nyingine hasa za magharibi wamepata exposure kimataifa na wanatumia lugha ya kimataifa-english.
Binafsi naona wamebarikiwa kwenye masuala ya sanaa ndiyo maana hata movie zao huwezi kuzilinganisha na zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…