Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

Mambo Huangamia cha Chinua Achebe

Kuna wakati alizamia Ufaransa, aliondoka US na kitu kama dola 2, baada ya kustruggle kama miaka miwili ufaransa,akarejea Marekeni mfukoni aliwa na exactly the same amount aliyoondoka nayo, dola2!!!!
ahaha hiyo wazee wa kubet wanaita DRAW NO BET.
 
It is a novel that presents social and psychological conflicts caused by the coming of locust(whites) into African societies.
the contact betwwen Afriacn culture and Western ways of life makes African traditional villages namely Mbata, Mbaino and Umuofia change their ways of life in some respectives.
 
I, Too

Langston Hughes, 1902 - 1967

I, too, sing America.

I am the darker brother.
They send me to eat in the kitchen
When company comes,
But I laugh,
And eat well,
And grow strong.

Tomorrow,
I'll be at the table
When company comes.
Nobody'll dare
Say to me,
"Eat in the kitchen,"
Then.

Besides,
They'll see how beautiful I am
And be ashamed—

I, too, am America.
Kuna poem nyingine aliandika inaitwa "marry go round".
Nikiipata nitaipandisha hapa
 
Wale wenzangu na mimi tulikua tunabeba mahindi ya kuchoma na maandazi kwenye mabegi ya shule mnaonaje hii mada? Naomba muwasalimie hapo wizara ya chakula
Ha ha ha haaaa nimecheka kwa sauti, kwa kweli hapa wizara ya chakula hatuna cha kulalamika. Mahindi ni mengi mno bei chee. Hii mada inatuondolea steem tu hatuipendi. ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa
 
You remind me of the greatest moment in my life, when I was younger than young! [emoji120]
 
Oh!... Ni nani author wa great pond?
War and its effects define the plot of The Great Ponds. The war is fought between the village of Chiolu and the village of Aliakoro over fishing rights to Wagaba Pond, one of the ponds alluded to in the title of the novel. Thirty years prior to the time of the story, Chiolu warriors won a battle with those of Aliakoro, and since then members of Chiolu have claimed Wagaba Pond and fished in it without hindrance. Aliakoro villagers, however, have begun to poach in the pond, and Chiolu sends a war party to catch the poachers.
Olumba, the main Chiolu warrior, heads the party. They catch two poachers and almost a third, Wago the leopard-killer, the chief Aliakoro warrior.
The conflict soon escalates. In the first major battle, Ikechi, a young Chiolu warrior and Olumba’s protege, kills his first opponent and is initiated into the company of his colleagues. Aliakoro wins the next battle, however, with the aid of the Isiali village, whose warriors kidnap four Chiolu women, among them Oda, Olumba’s pregnant youngest wife, and Chisa, Eze Diali’s daughter, whom Ikechi wants to marry.
Beyond working out the ransom for several of those taken by both sides, the highly ritualized conferences between Chiolu and Aliakoro (conducted by the chiefs and elders of each village or their delegates, with input from warriors such as Olumba and Wago) fail to solve the issue of Wagaba Pond. The war becomes so serious that no one in either village is safe and the daily routine in both deteriorates.
Chiolu and Aliakoro belong to the Erekwi clan, and the other villages that constitute the clan come together to keep the war from spreading and to bring an end to it. They set up a peace conference between the warring villages, at which Olumba, offering himself to the ritual whereby property disputes are commonly settled, swears by Ogbunabali, the god of night, that Wagaba Pond belongs to Chiolu. If Olumba is alive in six months,...
Thegreadponds.jpg

View attachment 932383View attachment 932383
Santee[emoji120]
 
Nilikua natafuta sana hiki kitabu nitie walau jicho maana wengine tumeishia kusoma joka la mdimu tu[emoji3]
 
Hahaha, hii novel ni noma, bifu la Olumba na Wago lilikuwa la ukweli.

Ila Wago alikuwa jasiri sana, na kuwakomesha jamaa baada ya kuonekana Olumba amesurvive miezi 6 ilibidi afie kwenye pond wakose wote, kwa sababu nilikuwa ni abomination (mwiko) kuvua kwenye bwawa alilojiua mtu.
 
Things Fall apart by Chinua Achebe, namkumbuka kipande hiki:-

Okonkwo alikuwa amelala usiku kwenye kitanda chake cha ngozi kwenye nyumba yake iliyozunguukwa na nyumba za wake zake. Aliposikia ngoma ikilia ikiashiria hatari anaamka ni kikao cha wanaume usiku.

Ukimya unatawala "Umofia kwenu.. wote wanaitikia Kwenu!! Those sons of wild animal they murdered our child Ezinma." Ezinma alikuwa ni msichana wa Umofia aliyeuwawa alipoenda sokoni katika Kijiji cha jirani.

Hapo kinacho fuata ni Vita kwa maana Umofia kilikuwa ni Kijiji kilicho ogopewa kwa vita na uchawi.

Okonkwo mwenyewe huwa akienda vitani alikuwa lazima arudi na vichwa vya watu zaidi ya watano amevishika mkononi.

Baba yake Unoka hakuwa na chochote, pia hakumuachia urithi ange rithi nini wakati baba yake alikuwa mvivu na mwenye afya dhaifu. Kazi yake kubwa ilikuwa kupiga filimbi yake ya bamboo stem na madeni yamemjaa kila mahali.

Kutokana na fear of weakness, Okonkwo akawa ni hard working mwenye mwili mkubwa na mpiganaji wa mieleka mchezo uliochezwa wakati wa mavuno ya viazi vitamu. Lkini ndani yake yeye mwenyewe alikuwa dhaifu mno, udhaifu aliourithi kutoka kwa baba yake ambao hakutaka kuuonyesha.

Hakupenda ule udhaifu aliourithi kutoka kwa babayake udhihirike hivyo aliudhihirisha ushujaa wake ili kuwaprove watu wrong.

Okonkwo anatumwa kwenye Kijiji hicho cha jirani jina nimesahau pamoja na mzee moja, walipofika walipokelewa kwa heshima zote kwani Okonkwo alikuwa akiogopewa mno kwa vita. baada ya mazungumzo ya kutafuta suluhu kufanyika. Okonkwo anapewa kijana Ikemefuna kama compensation kwa kilicho mkuta Ezinma.

Ikemefuna alitakiwa kuja kutolewa sacrifice baadaye kama mila zao zinavyosema lakni Okonkwo alionywa asishiriki kwenye kitendo hicho kwani mtoto huyo alikuwa akiishi naye Kama mwanaye...

"That son call you father don't bear your hand on his sucrifice..." Siku ya Sacrifice Okonkwo alimuua Ikemefuna kwa fear of weakness. Asionekane dhaifu. Wakati mtoto anamkimbilia kama baba yeye akamchabanga panga la kichwa.

Kitendo hicho kilimuathiri sana kisaikolojia, yaani mimi Okonkwo nimeua watu wote vitani lakini huyu mtoto mdogo ananitesa hivi kwa mawazo.....

Nadhani nimejaribu kukumbuka kidogo anayekumbuka zaidi anirekebishe...
 
Hahaha, hii novel ni noma, bifu la Olumba na Wago lilikuwa la ukweli.

Ila Wago alikuwa jasiri sana, na kuwakomesha jamaa baada ya kuonekana Olumba amesurvive miezi 6 ilibidi afie kwenye pond wakose wote, kwa sababu nilikuwa ni abomination (mwiko) kuvua kwenye bwawa alilojiua mtu.
Wago the leopard killer. Kweli alikuwa na roho mbaya.
 
Back
Top Bottom