Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Wago the leopard killer. Kweli alikuwa na roho mbaya.
Siyo roho mbaya, alikuwa warrior, alibeba jukumu la kitaka kumwua Olumba hata ikibidi kwa kutumia ndumba, nakumbuka wrestling yake na Anwuanwu the Village Dibia, akapigwa juju lakini kakataa kuomba msamaha.
Mpaka dibia aka surrender, akakubali kumroga Olumba, ila ikashindikana, na hapa mzigo wote alikuwa kapewa Wago in case iki backfire.