Mambo kadhaa yakumfanyia mwenza wako kumsaidia kuvishinda vishawishi!

Mambo kadhaa yakumfanyia mwenza wako kumsaidia kuvishinda vishawishi!

Kwanza kabisa naomba nitumie fursa hii kukushukuru kaka MziziMkavu, pili naomba nijitupie misifa kwani haya yooote uliyoelezea namfanyia Mr Rocky na ndo maana hafukuti si eti bebiii eee??we wala ukiwaona wenye mishepu huwa damu haichemki.....lol
Yummy kwa hapo sina la kuongeza wala sina la kusema
Ni zaidi ya utaalam ulio nao na ndo maana sihangaiki wala kuhangaishwa
nakukubali kama ulivyo na mambo yako hayana mfanowe
 
Last edited by a moderator:
Love you too dear ......mwahhaaaaaaa


Wife nenda kule jukwaa la siasa kashangilie sijui kuna nani kavuliwa ubunge sijui kafumuliwa
Hebu nenda uje unipe taarifa bana maana mimi na siasa ni mbaya kabisa
 
Nadhani labda wanaume mko tofauti. Mume wangu anataka tukitoka wanaume wenzie wageuke kunikodolea. Ni show off kind of. Hivyo lazima nipekua kabati haswaa kabla ya kutoka. Najua anajua a kind of lady he has married hivyo hana wasiwasi na mimi....anajua wataishia kukodoa tuuuu. Lol.
 
Back
Top Bottom