Yummy kwa hapo sina la kuongeza wala sina la kusemaKwanza kabisa naomba nitumie fursa hii kukushukuru kaka MziziMkavu, pili naomba nijitupie misifa kwani haya yooote uliyoelezea namfanyia Mr Rocky na ndo maana hafukuti si eti bebiii eee??we wala ukiwaona wenye mishepu huwa damu haichemki.....lol
Love you boo....mwaaaaahhhhhh
Love you too dear ......mwahhaaaaaaa