Boss la DP World
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,318
- 8,464
JE, RAIS SAMIA NI DIKTETA?
1. Kwanini hakemei viongozi wake wanaotoa vitisho dhidi ya watu wanaotoa maoni yao kuhusu mkataba tata wa bandari?2. Kwanini serikali yake iliuficha mkataba huu mpaka ulipo vujishwa na mtu mtandaoni ndipo ukapelekwa bungeni?
3. Kwanini ametoa kauli kuwa ameziba masikio yaani anamaanisha kuwa hataki kusikia maoni ya wananchi wake kinyume na matakwa ya demokrasia?
4. Kwanini watumishi wa umma wanatishuwa huko maofisini kujiepusha na mjadala wa bandari kwa hoja kuwa wanapaswa kuwa upande wa serikali iliyo waajiri?
Haya mambo si yanafanywa na madikteta?