Mambo Kumi Marufuku kwa Wanaume!

Hiyo namba 7 haijakaa sawa ila mengine yote "NDIYOOOOOOOO"
Anza kujenga kwenu kwa wazazi wako hatimae kwa wakwe,sio kosa kujenga ukweni
 
Hayo yote yanawapata kwa kuwa mnaangalia sana seating allowance na uzuri balada ya smart brain, na bado kudadadadeeeeeki.
 
Labda kwa wanawake wa zamani Ila si hawa wa karne hii ambao wanajitegemea kiuchumi. Yaani mm nisubiri kuwekwa jina kwenye kiwanja...so fun.
 
Umesema vema...mengine inakuwa ni akili ya kifukara.
 
no 6
 
Ninavyopenda kuitwa mama mimi [emoji847][emoji847] na baby daddy ananitendea haki kabisa acha aniite tu hakuna namna
 
Umesahau pia mwanaume Kwenda kuishi ukweni ni malufuku kabisa
 
Usimuamini mkeo unataka umuamini nani?
Mali zako usiweke jina lake unataka uweke nani?

Wewe ni mjinga na inaonesha Mama yako kafanyiwa hivyo.
Wanawake nao ni binadamu

Kwenye kutosomesha kwa ahadi ya ndoa sawa ila kama wasomesha kama msaada ni sawa kabisa
 
Yawekwe lamination tuyakute makumbusho ya taifa na ya dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…