Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Ukienda kuomba kazi huhojiwi?? Yaani uje uniombe kura nisikupige maswali ya nini umefanya na unachotaka kufanya??
 
Wewe ni walumumba hujawahi kuona treni za Afrika ya Kusini zikifika Dar es Salaam kupitia TAZARA? CCM kweli yamejaa mazezeta!
Usimtukane mtu kama hujui jambo uliza tazara rail sio sgr ina 1067mm ambayo sio sgr.. Sgr ni gauge zaid ya 1400mm..
Usipende kumtukana mtu bila sababu kisa umbumbumbu wako
Narudia tena kwa sauti kubwa tazara sio sgr. Sio kila analolisema lisu unabeba tuu. La kuambiwa changanya na zako
 
Yani umejitahidi kuandika weeee lakin hata cjakuelwa
 
Vile vile katika miaka yote hiyo miundombinu hiyo ikijengwa hakuna Rais ambaye alikuwa analazimisha asifiwe na vyombo vya habari vyote wala hakuna aliyelazimisha kutaka kubadili katiba kwa kisingizio cha kumaliza miradi
 
Kwa kweli mwaka huu nimeanza juhudi binafsi kwa kujitolea kuwashawishi watu wangu wa karibu kumpigia kura Lissu-i think it will make difference
 
Kageuza mkutano wa kampeni kijiwe Cha story badala ya kunadi sera
Toka mwanzo Hadi mwisho wa hizo point kumi Ni story tu hamna Cha sera Wala nini
CCM wana kitabu kina kurasa 305 kuhusu Ilani na sera. Mpaka leo Magufuli hajafanya reference yeyote kwenye kitabu akiwa jukwaani.

Hizo anazo zinadi Tundu Lissu ni ndimu au sindano za moto. Ndiyo wananchi wanajuwa kuwa yule anayejita mtetezi wa wanyonge kumbe ni FISADI mkubwa.
 
Sawa kabisa halafu yeye inaumsimbua nini kama haoni sera si na iwe furaha kwake.
Wanaomsokiliza wanamwelewa na hawajalalamika. Pilipili zi shamba zamwashia nini

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
hakuna cha maana sasa apo cha kumjibu sasa, kama ni kuanzisha mbuga za wanyama, mapato ya watalii mpaka saahv yanaeleweka ni billions of money, the 2nd after south africa kwa mapato ya utalii and 3rd africa
halafu yanaenda wapi hayo mapato ya watalii, kujenga airport Chato?
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tuwatu wa mbalali
Sera ya kujenga Chato international airport ni ya lini?
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Kazi mojawapo ya mgombea wa upinzani ni kuzikosea sera za chama tawala na hatimaye kutueleza sera mbadala. Pamoja na kuelimisha watu angalau wafunguke. Kujisifia tu mabarabara nk haitoshi, hana cha kujisifia kuhusu maisha bora kwa watu. Tunahitaji furaha zaidi kwa kutendewa haki na siyo kufokewa fokewa tu. Mtu anaomba kura kwa kulazimisha, mishipa imemtoka kama amefumaniwa.
Na bado, mpaka tarehe 27 oct, Kuna mtu atakuwa ana hali mbaya sana kwa kuwa hana uvumilivu wa kisiasa.
 
BEST THREAD OF ALL TIMES
 
halafu yanaenda wapi hayo mapato ya watalii, kujenga airport Chato?


mada apa ni kuhusu izo mbuga na airport so my point ni kwamba mbna they are success stories! swala la pesa znaenda wap mbna its wide open spending inaofanyika na serikali , no doubt about that!

alafu kuna kitu nimenotice kwa watu wa chadema hawaelewi sana kuhusu foreign currency and how its used! ni tatizo la kudhan sheria ndo kila kitu katika maisha
 
Mimi huwa nasema Lisu atatia aibu kuliko wagombea wote waliowahi kugombea urais kupitia chadema!
Unatia aibu wewe.

Angalia wananchi hawa hakuna mafuso, wanafunzi, wala watumishi wa umma wanaopewa maagizo na vitisho waje kwa jiwe.

HUYU NI YEYE 2020.
 
Baada ya Lisu kumaliza kueleza hayo mambo kumi ukimuuliza mwana mbalali sera za Chadema Ni Nini atajibu Nini hapo?
Nilikuwepo pale kwenye mkutano. Kiukweli aliongea Sera za chama Chao ndo akaanza kumwaga pumba zake.
 
Baada ya Lisu kumaliza kueleza hayo mambo kumi ukimuuliza mwana mbalali sera za Chadema Ni Nini atajibu Nini hapo?
Hiyo ndiyo Siasa kueleza udhaifu wa mpinzani wako na mapungufu yake.

Mgombea wa ccm yeye anawafokea wapiga Kura,mwambie aendelee kufoka tu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…