Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Mkuu kwani kuna shida gani watanzania kuijua nchi yao na namna inavyojengwa? Mbona magu anatudanganya kuwa kwa maika mitano amejenga Barabara za kilometer 3000 ila ukiangalia barabara zote za nchi hii zipo pale alipoishia Jk
 
Yanawahusu Nini watu wa Mbalali alipokuwa akihutubia? Kaanza kugeuza mikutano ya kampeni vijiwe vya story
Natamani lissu siku moja atueleze pesa iliyotumika kujenga chato airport na ile 1.5 t iliyomuondoa prof Assad ingetosha kusabambaza maji kwa wanyonge kwa kiwango gani?
 
Sera ni kitu kidogo amini MTU akikunyima vitu vitatu, Pesa,elimu,historia atakutawala maisha yako yote acha lisu atupe historia
 
Kabisa mkuu,Ila hatukutegemea Kama Kuna mtu anaweza kumkosoa jiwe hadharani.maana tuliaminishwa kua yeye ndo rais Bora kuliko wengine.ccm oyee
Nani alikatazwa kumkosoa?

Mbona ZITTO miaka yote anamkosoa jiwe?

Hilo suala la Dotto na Uwanja wa ndege chato ni jipya? Kwamba ndio mara ya kwanza kwako kulisikia toka kwa Lisu?

Hilo lipo tangu huo uwanja unajengwa na kina Zito na wengineo wamekuwa wakilisema kila siku. Sasa kwa vile Lisu yeye ni kama mgeni hapa nchini anafikiri hayo yatampatia kura.
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
wakijua wewe unapungukiwa nini.
 
Baada ya Lisu kumaliza kueleza hayo mambo kumi ukimuuliza mwana mbalali sera za Chadema Ni Nini atajibu Nini hapo?
yanazungumzwa yote. humu jukwaani kila mleta mada analeta kila kimpendezacho. ni kama wewe tu unayeleta ya kumponda pekee
 
Hahaha hata yeye anajua hashindi, Lisu atamteua awe mwenyeketi board ya pamba huk asumbuane na wakulima wenzake.
Yani Lisu na chadema hii hii imshinde Magu na ccm hiihii?
 
Magu anatawala nchi bila kufuata Katiba na Sheria..

Anachofikiria yeye ndiyo anakigeuza kuwa sheria..hii ni mbaya sana kwa ustawi taifa huru..... maana wananchi hawajui asubuhi
atasema nini ..
 
Siku hizi jf imekua inafuta hoja nzitonzito kizembe sana wanataka hoja za kusifia sifia na za kumponda Lissu

Jf ya sasa sio ile ya hoja za nguvu
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Ujinga shida sana, hayo ni ya kitaifa, kama unataka aliyowambia wana mbalali tafuta hotuba yake akiwa mbalali, au nenda kawaulize wana mbalali?
Unafikiri huyo ni bosi wenu ambaye hata akienda songea anasifia barabara ya juu ya DSM badala ya kuwambia atawasaidia vipi watu wa eneo husika
 
Sawa mkuu Taso sasa tuambie uyo bwana yeye atatufanyia nin wa TZ sio kukosoa tu.
 
Nasi tunayajua hayo ila tunaogopa kusema na hatuna media ya kuyapitisha.
 
Dah Tundu Lisu anapiga pale pale panapouma JPM ataweza kuvumilia kweli maana alizoea kuimbiwa nyimbo za sifa na wapambe
JPM na jeshi la akiba hawana guts za kujibu hizo makitu toka kwa great Lissu. Wewe huoni hapo juu wanasema eti story na kwamba zinafaida gani Mbalari. Mgombea wao kila mara utasikia tumejenga daraja, sjui vijiji kadhaa vinawaka umeme, mara SGR. Muulize kwa nini kajenga uwanja Chattle?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…