Uchaguzi 2020 Mambo Kumi niliyoyasikia leo kwa mara ya kwanza kuhusu Tanzania kutoka kwa Tundu Lissu akiwa Mbarali

Ongezaaaa alisikika YEHODAYA, mkuu hawa wamevurugwa mbaya. Mara upinzani umekufa saa hizi wanasema tukutane 28/10/2020 nawacheka Sana asee
Oktoba!

Tumeibiwa kura, hii ndio itaandikwa zaidi hapa jf na wananyumbu wote
 
Anayesimamia bwawa: chato
Anayetoa pesa: chato
Anayekopa pesa: chato
Anaye amrisha fedha zitolewe: chato
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
 
Ccm wamekosea sana 2015-2020.

Kama sio nguzo za NEC.. hakuna uwezekano wa kushinda.
 
N
Najiuliza,ni nani kwa sasa katika Taifa hili ambaye angeweza kuyasema haya yanayoendelea katika Taifa hili kama siyo huyo binadamu aliyevushwa kwenye bonde la uvuli wa mauti(Lissu).Hadi kumalizika kwa kampeni,ni wanufaika tu wa mfumo ndiyo wanaweza kuwa sehemu ya CCM.
 
Tumeyasikia ila bado rais atakaechaguliwa na watanzania ni John Pombe Magufuli
Tukutane hapa kuanzia asubuhi ya October 29, tukiwa tunaendelea kupata matokeo ya uchaguzi
Nani atamchagua Jiwe? Labda wewe mataga wenzio
 
Huyu jamaa tukimchagua kazi yake itakuwa kupita tu mitaani akiimba Uhuru na Maendeleo[emoji23][emoji23] maana pamoja na story zake tamu hasemi yeye atafanyaa nini tukimpatia nchi.

Unasikiliza TBC halafu unasema hasemi sera moja ya sera ni kukomesha matumizi mabaya ya madaraka na ufujaji wa pesa za uma yaani ufisadi uliojificha kwenye miradi hiyo mikubwa na kusababisha watanzania wanakuwa omba omba.
 
Na Magu naye basi asizungumzie aliyoyafanya, aseme at
Hapa ulichoandika hamna sera hata Moja
Basi Magu naye asizungumzie aliyoyafanya, aseme atafanya Nini kwa miaka mitano ijayo ili kubalance mizania.
 
Hizo ndo sera za Lissu?
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Yaan hizi ,wananikumbusha mwaka 1995.Mrema akiwa kwenye chati .Akiulizwa aseme Sera .Anasema nilikamata madini uwanja wa ndege.Jamani ,tunaomba Sera.
 
Kuna mtu atakuwa wa kwanza kutawala miaka 5 na kusepa haya mambo usipoangalia vizuri unaweza kudharau kuwa huyo nae anaropoka kumbe ndo unaondoka madarakani bila kujiandaa kisaikolojia.

Ni vema kuanza maandalizi ya kuondoka badala ya kufoka kama watu hawakutaki hawakutaki tu utafanikiwa kuwasomba kwenye malori na buku 5 lakini kura si ni siri ya mtu.

Ni vema kujipima kwa kuitisha mkutano bila wasanii kuona kweli unahitajika lakini mikutano ya kuagiza ofisi zifungwe na uwanjani kuna kuorodhesha majina hivi kweli huko ni kukubalika kwa kiongozi.

Hii nguvu ya kuzuia wapinzani wasigombee kwenye majimbo ni kupendwa. Kwani kuna ubaya gani kukubali ukweli kuwa watu wamekuchoka na kukubali kupisha mwengine.
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Ndio wanataka awe Rais Mtu mjinga kama huyu!!!
Hana Nyimbo hana sera, hana lolote zaidi ya Chuki, wenye kuelewa wameshamdharau
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Halafu hawa wapinzani si ndio wanaosema CCM haijafanya lolote Tangu uhuru ? Mbona Lisu anageuka tena na kusema maraisi waliopota walifanya mengi kama alivyo orodhesha ? Ukiwa muongo usiwe msahaulifu ! Magu! go go go !
 
Hapana siyo Lisu mgeni ni hoja kwenye kampeni kwamba kuna ufisadi umefanyika kama lilisemwa sasa ndo linakwenda kwa wapiga kura kujulishwa matendo ya mgombea anayetaka kupewa mitano mingine ili wamchinje baharini
 
Kwa hiyo hayo mambo kumi aliyoongea ndio mnahitaji wanayohitaji watanzania akichaguliwa kuwa Raisi?

Na hizo ndizo sera za Chadema aalizowaambia Wana Mbarali?
Zote naona porojo tu hamna sera hata Moja Hapo kawapotezea muda tu watu wa mbalali
Hayo ndio tunahitaji kwa taarifa yako. Huwezi ukahubiri neno la Mungu bila kusemea ubaya wa shetani utakuwa uhubiri chochote.

Mambo ya sera tukiyahitaji yapo kwenye Ilani yao ya Uchaguzi. Tunataka atuambie madhambi na madhaifu ya huu utawala wa kibabe tulionao leo.
 
Atwambie kwa nii mtu anapokuwa kinyume na mwenyekiti mbowe anpata tabu sana na wengine kupoteza maisha lakini hayo hasemi?
Kuhusu swaela la pesa kwa nini anataka kujua ya serikari lakini ya kwake hataki kuyasemea ya kura ruzuku na kula pesa za wabunge?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…