Hebu ongelea na akili za watu wa Congo kidogo basi mkuu
HahahahaInshort Congo ni kubwa jinga,Russia ina utajiri wa Maliasili kuliko almost nchi yoyote duniani na haichezewi chezewi.
11 mbilikimu
12 mkorogo
Hahahaha, aseeKalolaiti
Vumbi la kongo
Bila kusahau ndo Mbolo ya Solo 🤣🤣🤣!Hujajaza nyama kdg
Hamna bondia aliyetoka Congo kwenye lile pambano,
Mutombo Dikembe ndo mtu pekee maarufu pale ongezea wanamuziki.
Pia wenzio wanakula kila kitu kiitwacho nyama,gorilla + hata wewe unaliwa wakikosa nyama ingine mbwa kwao ni kuku kabisa wamehalalisha.
Kweli lakini ngumu:-
Siku moja ikatokea kama muujiza bana ba kongo wakaa wakawa kitu kimoja wakaachana na mambo ya vita wakasema sasa tunajenga nchi yetu,kongo patakuwa pahali bora zaidi kwa dunia yote,haki ya nani najiapisha kwa mungu baba..!