Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

.
Mzigo.jpeg
 
Kwani na wahehe ni wa Congo?
Hamna bondia aliyetoka Congo kwenye lile pambano,
Mutombo Dikembe ndo mtu pekee maarufu pale ongezea wanamuziki.
Pia wenzio wanakula kila kitu kiitwacho nyama,gorilla + hata wewe unaliwa wakikosa nyama ingine mbwa kwao ni kuku kabisa wamehalalisha.
 
Kweli lakini ngumu:-
Siku moja ikatokea kama muujiza bana ba kongo wakaa wakawa kitu kimoja wakaachana na mambo ya vita wakasema sasa tunajenga nchi yetu,kongo patakuwa pahali bora zaidi kwa dunia yote,haki ya nani najiapisha kwa mungu baba..!
Sasa si ndio mpk huo muujiza utokee mzee baba?
 
Sasa si ndio mpk huo muujiza utokee mzee baba?
Eee Mungu baba ona batu yako ya congolese vile napata tabu..!
ndiyo imebaki seheke pekee kwa dunia iko na problema zaidi,kwa iwe hivyo Ngai..
Madini yetu ndiyo imekuwa shida yetu..
 
Eee Mungu baba ona batu yako ya congolese vile napata tabu..!
ndiyo imebaki seheke pekee kwa dunia iko na problema zaidi,kwa iwe hivyo Ngai..
Madini yetu ndiyo imekuwa shida yetu..
Hahah pia Mungu baba pata sisi penda sana kazi laini laini kama kusuka kina dada saluni,paka mkorogo sana,kukata mauno sana lkn kazi ngumu ngumu za viwandani/mgodini hatupendi kabisaa.

Baba tuonekanie ba-mtu ka kinshasaaa
 
Hapana batu ba kongolese ipo jasiri sana achana hii danceri nakuja huku tanzanie hiyo hamuna kitu hapo,kao kazi yao wanapenda raha na b`iere na may`i na kusokota'a.
 
Wahehe walicopy tu mchezo mzima uko kule

Ndo tatizo la kutojifikiria kabla ya kuongea hilo.kama hamna cha kucomment bora unapita.unamwambia mwenzio mwizi na kati wewe mwenyewe unaimba.
 
Kweli lakini ngumu:-
Siku moja ikatokea kama muujiza bana ba kongo wakaa wakawa kitu kimoja wakaachana na mambo ya vita wakasema sasa tunajenga nchi yetu,kongo patakuwa pahali bora zaidi kwa dunia yote,haki ya nani najiapisha kwa mungu baba..!
Bacongoman hawapendage vita, ni mabeberu na majirani zao ndi wanatumia vita kujichotea utajiri
 
Nipo Goma hapa, hahah ila Congo kuna vitimbi sana, hapa namuona mjeda anajimoka kweupe kabisa alafu kapiga gwanda na chini kavaa moka!

Congo ndio sehem pekee utakuta mjeda anagombana na raia alafu maraia wanamzingua na kumshushia kipigo mjeda,

Lakini ba mutu ba huku ni wakarimu sana.
 
congo-dem.jpg

THE AFRICAN VISION October 28, 2019

Teknolojia ya ulimwengu inategemea congo kwa sababu ina 80% ya coltan ya ulimwengu (madini ambayo husaidia kuendeleza teknolojia ya ulimwengu.

Congo ni nchi ya pili kubwa barani Aafrika.ifani na saizi ya Ulaya ya Magharibi.

Congo ndio nchi yenye misitu mikubwa ya mvua katika bara la Afrika na ya pili ulimwenguni baada ya Amazon.

Congo ni nchi tajiri zaidi duniani katika maliasili.

Congo ndio nchi ya kwanza ya watu weusi ya Afrika kufuzu kwenye kombe la dunia la FIFA

Congo
ina bondia ameshiriki pambano la kihistoria zaidi la ndondi ulimwenguni … Rumblein the jungle (Ali vs Foreman)

Papa wemba wa Congo ndie mwafrika mweusi wa kwanza kuwa na albamu yake iliyothibitishwa dhahabu huko USA .year 1994 (Albamu inayoitwa EMOTION).

Grand Kalle of Congo ni mtu wa kwanza katika historia kuwa na lebo ya wasanii na kusainisha wasanii.

Koffi Olomide wa Congo anabaki kuwa msanii pekee ulimwenguni kujaza kumi 3 nchi ufaransa ndani ya miezi 9 zenith, Bercy, Olympia

Congo ndio msingi wa wasanii wa African
Note: Congo ziko mbili kuna umuhimu wa kutumia majina sahihi ili kuzitofautisha.
 
Back
Top Bottom