Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

Hahah daah hao wanajeshi ndo wataweza kupigana vita?
Nipo Goma hapa, hahah ila Congo kuna vitimbi sana, hapa namuona mjeda anajimoka kweupe kabisa alafu kapiga gwanda na chini kavaa moka!

Congo ndio sehem pekee utakuta mjeda anagombana na raia alafu maraia wanamzingua na kumshushia kipigo mjeda,

Lakini ba mutu ba huku ni wakarimu sana.
 
Hahahaha, hao ni FARDC ,ndio wanafanywa hivyo hawaogopwi ila kuna Hawa wajeda wanaitwa GR balaa hao
 
Hamna bondia aliyetoka Congo kwenye lile pambano,
Mutombo Dikembe ndo mtu pekee maarufu pale ongezea wanamuziki.
Pia wenzio wanakula kila kitu kiitwacho nyama,gorilla + hata wewe unaliwa wakikosa nyama ingine mbwa kwao ni kuku kabisa wamehalalisha.
Vipi wahaya wanaokula vidudu mkuu au umejisahau
Hahahaha, makabila yanayokula Mbwa ,Paka,Kenge ,Chatu ni Wakasi kama ilivyo bongo kuna baadhi yanakula mbwa,panya

Watu wa Goma ,Tanganyika ,karemee ,Katanga ,hawali hao viumbe
 
Kwanza nilikalibishwa na takbir takbir nikatembezewa mwenge, kwanza nikasita, shekh akaniambia kula dawa mda wa masjidi unakalibia, imam ndio pusher! Congo noma sana
yule sheikh anakula mukaka uku anatoa hutuba anakwambia mtume angefanya huu moshi wa bangi ndo ubani ingekua magoli kishenz
 
NIKUONGEZEE

1. congo mtu anaekula wali na maharage ni tajiri na wanakushangaa refer to Lubumbashi

2. congo Tajiri anaheshimika kuliko askari yani askari anaweza pigwa makofi na tajiri

3. Ni kweli watu wafupi huliwa kabisa hapo maporini

4. Mwanamke ndio huyufanya kazi mwanaume kujiremba muda wote

5. Ndio nchi yenye wanawake wabaya afrika nzima
 
Hahahaha, asee si mchezo
 
congo-dem.jpg

THE AFRICAN VISION October 28, 2019

Teknolojia ya ulimwengu inategemea congo kwa sababu ina 80% ya coltan ya ulimwengu (madini ambayo husaidia kuendeleza teknolojia ya ulimwengu.

Congo ni nchi ya pili kubwa barani Aafrika.ifani na saizi ya Ulaya ya Magharibi.

Congo ndio nchi yenye misitu mikubwa ya mvua katika bara la Afrika na ya pili ulimwenguni baada ya Amazon.

Congo ni nchi tajiri zaidi duniani katika maliasili.

Congo ndio nchi ya kwanza ya watu weusi ya Afrika kufuzu kwenye kombe la dunia la FIFA

Congo
ina bondia ameshiriki pambano la kihistoria zaidi la ndondi ulimwenguni … Rumblein the jungle (Ali vs Foreman)

Papa wemba wa Congo ndie mwafrika mweusi wa kwanza kuwa na albamu yake iliyothibitishwa dhahabu huko USA .year 1994 (Albamu inayoitwa EMOTION).

Grand Kalle of Congo ni mtu wa kwanza katika historia kuwa na lebo ya wasanii na kusainisha wasanii.

Koffi Olomide wa Congo anabaki kuwa msanii pekee ulimwenguni kujaza kumi 3 nchi ufaransa ndani ya miezi 9 zenith, Bercy, Olympia

Congo ndio msingi wa wasanii wa African
Congo drc.
 
Back
Top Bottom