Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

congo-dem.jpg

THE AFRICAN VISION October 28, 2019

Teknolojia ya ulimwengu inategemea congo kwa sababu ina 80% ya coltan ya ulimwengu (madini ambayo husaidia kuendeleza teknolojia ya ulimwengu.

Congo ni nchi ya pili kubwa barani Aafrika.ifani na saizi ya Ulaya ya Magharibi.

Congo ndio nchi yenye misitu mikubwa ya mvua katika bara la Afrika na ya pili ulimwenguni baada ya Amazon.

Congo ni nchi tajiri zaidi duniani katika maliasili.

Congo ndio nchi ya kwanza ya watu weusi ya Afrika kufuzu kwenye kombe la dunia la FIFA

Congo
ina bondia ameshiriki pambano la kihistoria zaidi la ndondi ulimwenguni … Rumblein the jungle (Ali vs Foreman)

Papa wemba wa Congo ndie mwafrika mweusi wa kwanza kuwa na albamu yake iliyothibitishwa dhahabu huko USA .year 1994 (Albamu inayoitwa EMOTION).

Grand Kalle of Congo ni mtu wa kwanza katika historia kuwa na lebo ya wasanii na kusainisha wasanii.

Koffi Olomide wa Congo anabaki kuwa msanii pekee ulimwenguni kujaza kumi 3 nchi ufaransa ndani ya miezi 9 zenith, Bercy, Olympia

Congo ndio msingi wa wasanii wa African

Umesahau energy drink inayoitwa power asili
 
NIKUONGEZEE

1. congo mtu anaekula wali na maharage ni tajiri na wanakushangaa refer to Lubumbashi

2. congo Tajiri anaheshimika kuliko askari yani askari anaweza pigwa makofi na tajiri

3. Ni kweli watu wafupi huliwa kabisa hapo maporini

4. Mwanamke ndio huyufanya kazi mwanaume kujiremba muda wote

5. Ndio nchi yenye wanawake wabaya afrika nzima
Hahaa.no5.
 
Kwa hiyo Mkuu,wanawake wa Kikongo ni wabaya kuliko wanawake wa Kisukuma na Kimakonde?
 
Bana ba Kongo tunapenda kuivala bien ndiyo unakuta kama rakhisi nyoshe anang'hara vile...unamuona khile ndiyo mila yetu.
 
Mbona kinshasa naona kama iko jirani hapo na bahari ya Atlantic inakuwaje na wkt nilikuwa najua congo hakuna bahari
 
Mbona kinshasa naona kama iko jirani hapo na bahari ya Atlantic inakuwaje na wkt nilikuwa najua congo hakuna bahari

Ipo bahari mkuu na bahari ndo imetungenganisha na congo braza
 
Back
Top Bottom