Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

Coltan haisaidii kuendeleza teknolojia duniani,ni component tu,Ali na Foreman wote walikuwa USA citizens hakuna aliyetokea Congo kati yao. Next time uwe specific kwenye Congo kwa sababu zipo nchi mbili zenye majina ya congo

Kwani hyo shape haijielezi ni congo hipi.
 
Coltan haisaidii kuendeleza teknolojia duniani,ni component tu,Ali na Foreman wote walikuwa USA citizens hakuna aliyetokea Congo kati yao. Next time uwe specific kwenye Congo kwa sababu zipo nchi mbili zenye majina ya congo
Ameandika kama anakimbizwa halafu uongo uongo mwingi.
 
Congo ni laughing stock country of the world

Wanamiliki utajiri wa kutisha lakini ni maskini mpaka huruma

Nchi imekuwa km shamba la bibi kila mtu anajichukulia tu!

Sasa ni zamu ya wachina kufaidika na rasilimali za wakongo.
 
Inshort Congo ni kubwa jinga,Russia ina utajiri wa Maliasili kuliko almost nchi yoyote duniani na haichezewi chezewi.

Si kweli Congo ndo ya kwanza duniani kwa utajiri asili wa raslimali.Tanzania ni ya 10 duniani.Kuna vingi vipo Congo Russia havipo.Google.
 
Nimekupa mia.tatzo nchi zenye nguvu duniani zinatusumbua sana
Panapo umoja hakuna utengano.Shida ya Africa ni kukosa mifumo sahihi ya uongozi,iliyopo imeleta vita,njaa,umasikini, maradhi,ujinga, nk.Angalau kidogo wakoloni tulisonga.
 
Si kweli Congo ndo ya kwanza duniani kwa utajiri asili wa raslimali.Tanzania ni ya 10 duniani.Kuna vingi vipo Congo Russia havipo.Google.
Kawadanganye wa-congo mzee baba.
 
Kweli lakini ngumu:-
Siku moja ikatokea kama muujiza bana ba kongo wakaa wakawa kitu kimoja wakaachana na mambo ya vita wakasema sasa tunajenga nchi yetu,kongo patakuwa pahali bora zaidi kwa dunia yote,haki ya nani najiapisha kwa mungu baba..!
Ni wakati wamepukutishwa maliasili zote na huo ubora utabaki ndoto
 
Itakuwa dona kantri, mabeberu na magegedu wataenda kupita magoti Kwa Moise Katumbi Chapwa

Back
Top Bottom