Mambo kumi unatakiwa kujua kuhusu nchi ya Congo

Kwani na wahehe ni wa Congo?
Hamna bondia aliyetoka Congo kwenye lile pambano,
Mutombo Dikembe ndo mtu pekee maarufu pale ongezea wanamuziki.
Pia wenzio wanakula kila kitu kiitwacho nyama,gorilla + hata wewe unaliwa wakikosa nyama ingine mbwa kwao ni kuku kabisa wamehalalisha.
 
Kweli lakini ngumu:-
Siku moja ikatokea kama muujiza bana ba kongo wakaa wakawa kitu kimoja wakaachana na mambo ya vita wakasema sasa tunajenga nchi yetu,kongo patakuwa pahali bora zaidi kwa dunia yote,haki ya nani najiapisha kwa mungu baba..!
Sasa si ndio mpk huo muujiza utokee mzee baba?
 
Sasa si ndio mpk huo muujiza utokee mzee baba?
Eee Mungu baba ona batu yako ya congolese vile napata tabu..!
ndiyo imebaki seheke pekee kwa dunia iko na problema zaidi,kwa iwe hivyo Ngai..
Madini yetu ndiyo imekuwa shida yetu..
 
Eee Mungu baba ona batu yako ya congolese vile napata tabu..!
ndiyo imebaki seheke pekee kwa dunia iko na problema zaidi,kwa iwe hivyo Ngai..
Madini yetu ndiyo imekuwa shida yetu..
Hahah pia Mungu baba pata sisi penda sana kazi laini laini kama kusuka kina dada saluni,paka mkorogo sana,kukata mauno sana lkn kazi ngumu ngumu za viwandani/mgodini hatupendi kabisaa.

Baba tuonekanie ba-mtu ka kinshasaaa
 
Hapana batu ba kongolese ipo jasiri sana achana hii danceri nakuja huku tanzanie hiyo hamuna kitu hapo,kao kazi yao wanapenda raha na b`iere na may`i na kusokota'a.
 
Wahehe walicopy tu mchezo mzima uko kule

Ndo tatizo la kutojifikiria kabla ya kuongea hilo.kama hamna cha kucomment bora unapita.unamwambia mwenzio mwizi na kati wewe mwenyewe unaimba.
 
Kweli lakini ngumu:-
Siku moja ikatokea kama muujiza bana ba kongo wakaa wakawa kitu kimoja wakaachana na mambo ya vita wakasema sasa tunajenga nchi yetu,kongo patakuwa pahali bora zaidi kwa dunia yote,haki ya nani najiapisha kwa mungu baba..!
Bacongoman hawapendage vita, ni mabeberu na majirani zao ndi wanatumia vita kujichotea utajiri
 
Nipo Goma hapa, hahah ila Congo kuna vitimbi sana, hapa namuona mjeda anajimoka kweupe kabisa alafu kapiga gwanda na chini kavaa moka!

Congo ndio sehem pekee utakuta mjeda anagombana na raia alafu maraia wanamzingua na kumshushia kipigo mjeda,

Lakini ba mutu ba huku ni wakarimu sana.
 
Note: Congo ziko mbili kuna umuhimu wa kutumia majina sahihi ili kuzitofautisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…