pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
- Thread starter
-
- #61
Uko sahihi Mkuu ila namba 9 ni muhimu sana kwenye vitabu kuna kila kitu vinafungua ufahamu sana alafu vina majibu mengi ya kila tatizo tunalokutana nalo kwenye maisha, kingine watu wasiogope kusoma vitabu maana hakuna kanuni ya kusoma vitabu uanze mwanzo mpaka mwisho hapana, unaweza fungua kwenye topic unayotaka alafu sentensi moja tu kwenye kitabu inaweza kuwa na maana kubwa sana ikabadilisha maisha na kukupa mwanga mpya wa maisha pasipo kusoma kitabu chote na ndo dhumuni la mwandishi unaposoma kitabu usitoke mtupu.
Vitabu nilivyosoma mwaka 2024
Habari za mchana wakuu, Ikiwaa tunaelekea mwisho wa mwaka 2024 huku wengine wakiwa njiani kuelekea nyumbani kwa ndugu jamaa na marafiki kwa ajili ya mapumziko ya Christmas na mwaka mpya yanayoanza kesho nawatakia safari njema mungu awalinde. Mimi ni miongoni mwa watu ambao, nipo addicted na...
Mkuu kwenye suala la vitabu unaweza kutembelea hapa utapata madini kidogo huu uzi nilianzisha Last year.