Mambo kumi unayotakiwa uyafanye katika maisha yako ya kila siku

Mambo kumi unayotakiwa uyafanye katika maisha yako ya kila siku

Uko sahihi Mkuu ila namba 9 ni muhimu sana kwenye vitabu kuna kila kitu vinafungua ufahamu sana alafu vina majibu mengi ya kila tatizo tunalokutana nalo kwenye maisha, kingine watu wasiogope kusoma vitabu maana hakuna kanuni ya kusoma vitabu uanze mwanzo mpaka mwisho hapana, unaweza fungua kwenye topic unayotaka alafu sentensi moja tu kwenye kitabu inaweza kuwa na maana kubwa sana ikabadilisha maisha na kukupa mwanga mpya wa maisha pasipo kusoma kitabu chote na ndo dhumuni la mwandishi unaposoma kitabu usitoke mtupu.

Mkuu kwenye suala la vitabu unaweza kutembelea hapa utapata madini kidogo huu uzi nilianzisha Last year.
 
Back
Top Bottom