Sasa Mrembo, mbona umepotea moja kwa moja? Nimeshakujibu hapo juu! Au bado umetingwa na majukumu ya kuwapikia chai hao Wahubiri wako?Hata huko Kukazwa Kwako 24/7 pia huwa nakupigia Promo au? Nasubiri Jibu ili nimalize Kazi kwani naona umenitafuta Siku nyingi na unataka Kupata kile Unachokitafuta.
Kuna wanaopenda mahubiri na wengine pombe, wanawake z mpira z mziki, etc. Hakuna aliye bora zaidi ya mwingine as long as hawavunji sheria za nchi hapo siwezi washangaaSiku zote wajinga ndiyo waliwao. Mimi ni wa kwenda kwenye mahubiri!!
Yaani badala ya kuitetea ndiyo umeidhalilisha zaidi hiyo dini.wewe hujielewi sana , umekuwa nani unashutumu dini ya mtu hata kama mtu anaabudu kwa kulialia katiba inaruhusu una diriki ku-mention baadhi ya dini eti wastaarabu na wengine ???
Jitambue ww mpuuzi ,kama umekosa uzi si lazma kutaka kuandika tu kama umebanwa kunya
Idiot
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Wajinga ndiyo waliwao....bwana jinga inauma ufikieie vizur1. Hawajisifu balip humsifia sana Kristo na Baba Muumba ( Mungu )
2. Wanahubiri Kiustaarabu na hawapigi Kelele kama Walevi wa Gongo wa Kunduchi Mtongani au wa Kawe kwa Mapupu
3. Wanaenda mno na muda na Wanathamini sana Ratiba za Watu nje ya Ibada
4. Hawatuhimizi kila mara kutoa Sadaka bali kwa Mahubiri yao mazuri Wewe Mwenyewe tu utashawishika kutoa Sadaka
5. Hawatulazimishi tununue Maji au tubebe Mikojo na Vinyesi vyetu vikaombewe ili vitolewe Mapepo
6. Shuhuda za Kipuuzi Kipuuzi na za Kitoto kama za kukutana na Mende au Panya Jikoni Kwako hawazitaki
7. Japo Wanahubiri ila pia Wanaheshimu sana Tafiti za Kisayansi kuhusu Afya ya Mwanadamu tofauti na Wetu wanaodharau Tiba za Kisayansi ( Hospitalini ) wakisema Kristo na Damu yake inatosha Kukutibia hata kama Unaugua hoi na Safari ya kwenda Kulala rasmi Frijini Mochwari unaiona
Ni Matumaini yangu makubwa yale Madhehebu mengine hapa nchini Tanzania ( ukiyaondoa tu ya Catholic, Lutheran, Anglican na SDA ambayo ndiyo yana Ustaarabu,Umakini na Waumini wenye Akili Kubwa na Timamu pia ) nayo yatakuwa yamejifunza Kitu kutoka kwa hawa Wahubiri wa IMANI, UPENDO na MIUJIZA hivyo kuanzia Jumapili hii ( ya Keshokutwa ) katika Ibada zao tutaona Mabadiliko.
Kwel kabisa hakuna madhabau yoyote ile unayo ingia bila sadakaUkiona mhubiri hakushauri utoe sadaka huyo hakupendi
Mnatukanana kisa mahubiri?Nikutafute wewe kiazi mviringo usiye jitambua! Halafu nikufanye nini? Nikutafune, au?
Hii nili rekodi kitambo nilipowakuta SumbawangaVipi hakuna picha za wahubiri na wahudhuriaji tuwaone?
Google zipoVipi hakuna picha za wahubiri na wahudhuriaji tuwaone?
Ni asilimia 10 pekee waliobakia awaamini thus ujinga ungalipoThe day africans wataacha kuamini dini za kuletewa ndio siku ujinga utaisha na kila mmoja kuwa responsible na maisha yake hivyo taifa kuendelea na kuwekeza kwenye technology badala ya imani.
Au africa itaendelea kuongea umasikini milele.